Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ngoja nifute, nawaheshimu sana[emoji119][emoji119][emoji119]Kazingua....mi niliona tangu mchana nikapotezea maana naelewa mliposhindwania[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nifute, nawaheshimu sana[emoji119][emoji119][emoji119]Kazingua....mi niliona tangu mchana nikapotezea maana naelewa mliposhindwania[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Achana nae!Anajibu tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Niwe mkweli sina ugomvi na yeyote humu JFWw wote umesamehe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Good.Ngoja nifute, nawaheshimu sana[emoji119][emoji119][emoji119]
Nimeshafuta[emoji23][emoji23][emoji23]Achana nae!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niwe mkweli sina ugomvi na yeyote humu JF
Mtu pekee ambaye sijamsamehe ni PESA peke yake!!!
Kwa umri nilionao ss hivi sihitaji marafiki wala ndugu! NAHITAJI PESA NA WATEJA wa kununua mzigo wangu wa biashara [emoji23][emoji23][emoji23]
Kidoogo nitakuwa na ugomvi atakayejifanya anataka ligi na me kwa bwana Kantry [emoji23][emoji23][emoji23]
Umefanya vyemaNimeshafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Unisamehe shem wangu joannah, I'm so sorry[emoji23][emoji23]Umefanya vyema
Yatapita🙇Unisamehe shem wangu joannah, I'm so sorry[emoji23][emoji23]
Nilikua nacheka tu hiki kisa chao[emoji23]
Kweli kabisaPm siku zote zinaamua ugomvi ndiomana sifuti nascreenshot kutunza kumbukumbu 😂😂😂
Sababu akili za binadamu nazijua, wapo km vinyonga
Sifuti chochote na sijakuquote popote.Futa tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yatapita[emoji144]
Ila kwako ndo nakua mkali km pilipili 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeeh mwali mbona chighafla sana Kuna mtu anakutafuta lawama kwani🤣🤣?Ila kwako ndo nakua mkali km pilipili 😂😂😂
Afu washajua udhaifu wangu!!
Tukitaka kumchokoza Lamomy, tumtanie Kantry 😂😂😂
Wananiboa naekti uzungu ila ninakoelekea naanza kushindwa kabisaaaaaa🙌🙌🙌
Jamani MNIKOME na Kantry wangu, mbona wanaume wapo wengi humu?!! Why Kantry?!!
Nitashindwa kuwavumilia!!!!
Imepita bila kupingwa[emoji23][emoji23]Ila kwako ndo nakua mkali km pilipili [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu washajua udhaifu wangu!!
Tukitaka kumchokoza Lamomy, tumtanie Kantry [emoji23][emoji23][emoji23]
Wananiboa naekti uzungu ila ninakoelekea naanza kushindwa kabisaaaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]
Jamani MNIKOME na Kantry wangu, mbona wanaume wapo wengi humu?!! Why Kantry?!!
Nitashindwa kuwavumilia!!!!
😂😂😂😂 Kuna watu nawavumilia basi tyuuu!!Eeeeeh mwali mbona chighafla sana Kuna mtu anakutafuta lawama kwani🤣🤣?
Weekend leo, ndio huwa anabebisha sana[emoji23]Eeeeeh mwali mbona chighafla sana Kuna mtu anakutafuta lawama kwani[emoji1787][emoji1787]?
Acha wivu dogo!usisumbuliwe na tumambomambo we kamanda sana😂😂😂😂 Kuna watu nawavumilia basi tyuuu!!
Mwenzao nimefika bei kwa chugga man bas ishakuwa nongwa nao wanataka ligi kutwa kumchombeza na viutani 😂😂😂
Kuna muda unaona kabisa huyu anataka kujiweka 🤣🤣🤣
Wacha wee!namuaminia sana dogo languWeekend leo, ndio huwa anabebisha sana[emoji23]
Lamama a.k.a tajiri mtoto[emoji23]
😍😍😍😍Imepita bila kupingwa[emoji23][emoji23]