Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Ww wote umesamehe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Niwe mkweli sina ugomvi na yeyote humu JF
Mtu pekee ambaye sijamsamehe ni PESA peke yake!!!
Kwa umri nilionao ss hivi sihitaji marafiki wala ndugu! NAHITAJI PESA NA WATEJA wa kununua mzigo wangu wa biashara 😂😂😂

Kidoogo nitakuwa na ugomvi atakayejifanya anataka ligi na me kwa bwana Kantry 😂😂😂
 
Niwe mkweli sina ugomvi na yeyote humu JF
Mtu pekee ambaye sijamsamehe ni PESA peke yake!!!
Kwa umri nilionao ss hivi sihitaji marafiki wala ndugu! NAHITAJI PESA NA WATEJA wa kununua mzigo wangu wa biashara [emoji23][emoji23][emoji23]

Kidoogo nitakuwa na ugomvi atakayejifanya anataka ligi na me kwa bwana Kantry [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwako ndo nakua mkali km pilipili 😂😂😂
Afu washajua udhaifu wangu!!
Tukitaka kumchokoza Lamomy, tumtanie Kantry 😂😂😂

Wananiboa naekti uzungu ila ninakoelekea naanza kushindwa kabisaaaaaa🙌🙌🙌

Jamani MNIKOME na Kantry wangu, mbona wanaume wapo wengi humu?!! Why Kantry?!!
Nitashindwa kuwavumilia!!!!
 
Eeeeeh mwali mbona chighafla sana Kuna mtu anakutafuta lawama kwani🤣🤣?
 
Ila kwako ndo nakua mkali km pilipili [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu washajua udhaifu wangu!!
Tukitaka kumchokoza Lamomy, tumtanie Kantry [emoji23][emoji23][emoji23]

Wananiboa naekti uzungu ila ninakoelekea naanza kushindwa kabisaaaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]

Jamani MNIKOME na Kantry wangu, mbona wanaume wapo wengi humu?!! Why Kantry?!!
Nitashindwa kuwavumilia!!!!
Imepita bila kupingwa[emoji23][emoji23]
 
Eeeeeh mwali mbona chighafla sana Kuna mtu anakutafuta lawama kwani🤣🤣?
😂😂😂😂 Kuna watu nawavumilia basi tyuuu!!
Mwenzao nimefika bei kwa chugga man bas ishakuwa nongwa nao wanataka ligi kutwa kumchombeza na viutani 😂😂😂

Kuna muda unaona kabisa huyu anataka kujiweka 🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂 Kuna watu nawavumilia basi tyuuu!!
Mwenzao nimefika bei kwa chugga man bas ishakuwa nongwa nao wanataka ligi kutwa kumchombeza na viutani 😂😂😂

Kuna muda unaona kabisa huyu anataka kujiweka 🤣🤣🤣
Acha wivu dogo!usisumbuliwe na tumambomambo we kamanda sana
 
Imepita bila kupingwa[emoji23][emoji23]
😍😍😍😍
Raha unazonipa nao wanataka wazionje khaaa!!!
Hivi waliona wapi kaburi wakazikwa watu wawili? Hebu wakuache bhana!!!
Nitashindwa kuwavumilia mimi sio Joannah ooh!!
Mi Zai kijiwe nongwa nikiamsha mashetani yangu yanaamliwa na mods tyuuu!!!
 
Back
Top Bottom