Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Yangu hujaitikia mpenzi naifuta comment ๐Ÿค—ulivyo mchoyo hata keki.


Hqwachi...jana nilisema pg no 5 kuwa sipo eneo lenye net..hv nw nimekuja mjini walau nipate net na kurwfresh mind..hv nw nimerud 1st page...jana ilikua inatumia 10min kijibu..inasumbua balaa...nakujibi usifute sina roho hyo kbs hahaha...huon@hazard ndo namjibu nw na yule James comey...nisamehe mdg wangu..keki umri umekimbia..nawaachia vijana๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
Happy birthday mane Mungu wetu azidi kukubariki tu ww na kizazi chako


๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Haleluja mama mchungaji wa mwendokasi..nikipita sehem nikaona heinke huwa nakukumbuka ww sijui why mama mchungaji๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ
 
Happy bday manengelo maisha mema na yenye furaha ikawe sehemu yako...

Tusio maarufu na tusiokuwa na wakutukumbuka humu tupite kimya kimya [emoji26]


hhahahaa mm huyu ni zaidi ya kaka..nikiwa na kiu na njaa nausingiz vyote namshitakiaga yy..as u knw matwins huwa tunapendana kiasili....๐ŸŽถ๐ŸŽถtetema...asnte mamy...penda ww
 
Usijali mpendwa happy birthday kwa mara nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ