Nikukosesha nini?embu kula Bataz uko uliko mayo.unataka nikosesha nn lakini mzee baba ...
Mpaka nimtafute anipikie siku moja.ahahaa...walizaliwa..ila hawana ishu hiz..pilau bwana akupikie muislam..muislam og utapenda...naamanisha
Mpaka nimtafute anipikie siku moja.
Happy Birthday shoga wangu wa ukweli, mpambanaji usie kata tamaa.
Love you crazy manengelo [emoji8]
Happy birthday Mayo Tunakutakia Umri mrefu sana mimi na wife
15,000 per moja
Malipo ni kwa namba yangu nitakuinbox
Delivery manengelo uniambie nidrop wapi na zile shuka ulitakaga zimekuja nzurrriii
Sent using Jamii Forums mobile app
sana sanaHappy bilated birthday manengelo, uishi umri mrefu mamy, mpk uone vitukuu vya watoto wako[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe sana nitaipata tu ht km nipp nyakanaziπSintakuambia kwa sasa maana niko mbali ila nakuja soon huko
Sijui ulipo tu ila kama ndio nitakapotua ntakutafutia moja nzuri
Sent from my SM-G570F using Tapatalk