Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
Ni lady fulani hivi mkuu ambaye ni certified, [emoji23][emoji23][emoji23]Ni nani huyu mangelelo wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lady fulani hivi mkuu ambaye ni certified, [emoji23][emoji23][emoji23]Ni nani huyu mangelelo wakuu?
Hello JF!
Leo amezaliwa member mwenzetu, mwanadada Manengelo. Ni uungwana kutakiana heri kwenye nyakati muhimu za maisha yetu wanadamu.
Mimi binafsi, nakufaham kama mtu mwenye heshima sana, mstaarab, usiye na makuu, na zaidi zaidi mpambanaji.
Nakuahidi 'anytime, anything u got my support'...
Una redds zangu kama 20 hivi[emoji28]... Na nimekuandalia kadi ya sisiem[emoji23][emoji23]
Heri ya kuzaliwa Mpambanaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
NITAKUOMBEA KILA SIKU.. U GOT ME.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Am humbled u know...aisee kweli umekumbuka siku ya kuzaliwa ?hahaa ..nakumbuka nilikuambia siku1...am blessed...
Asante sana mkaka kunitakia heri...naamini Ktika vinywa vya watu wema...!NIOMBEE[emoji4]..
again thanks
Vipi lakini hauhitaji bidhaa kutoka Congo.!? Maana Simba wanarudi, nadhani leo usiku kimya kimya.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Am humbled u know...aisee kweli umekumbuka siku ya kuzaliwa ?hahaa ..nakumbuka nilikuambia siku1...am blessed...
Asante sana mkaka kunitakia heri...naamini Ktika vinywa vya watu wema...!NIOMBEE[emoji4]..
again thanks
Happy birthday manengelo
Sasa brother The August naomba umfurahishe dada yetu na kazawadi kadogo alikatamani nikakuita ila haukufika
manengelo may your dreams comes true [emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi lakini hauhitaji bidhaa kutoka Congo.!? Maana Simba wanarudi, nadhani leo usiku kimya kimya.. [emoji28]
View attachment 1070629View attachment 1070630View attachment 1070631

Leo nanywea home kwangu tu...hahahaha naona watu hapa wametoka kimya kimyaaa hahaha pole zao aisee[emoji4][emoji4][emoji4] ...
Happy BD manengelo nilidhani wewe me kumbe ke?Happy birthday manengelo
Sasa brother The August naomba umfurahishe dada yetu na kazawadi kadogo alikatamani nikakuita ila haukufika
manengelo may your dreams comes true [emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
..khaaHappy 20th birthday mayo.
mbona art zangu jaman zinajionesha mamy..me ke!asante sana aunt akeHappy BD manengelo nilidhani wewe me kumbe ke?
Happy birthday !!
mshukuru Mungu kwa kukuongezea mwaka mwingine wa kuishi..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] nilikuambia. Huko inabidi ufunge mkanda haswa... Karibu ziwani.. Ngoja nikuandalie kabajeti kako kabisa.Ninywee nami aisee maana huku ni kwa wagumu tu ..hakunaga mambo yangu..nxt wknd napaa mwanzaa[emoji39][emoji39][emoji39]
The August
Leo nanywea home kwangu tu...
Kinywaji kinashuka vizuri kabisa.. Mtu kala goli za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa angalizo... [emoji28]Kunywa kistaarabu[emoji6][emoji6]