Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Hello JF!
Leo amezaliwa member mwenzetu, mwanadada Manengelo. Ni uungwana kutakiana heri kwenye nyakati muhimu za maisha yetu wanadamu.
Mimi binafsi, nakufaham kama mtu mwenye heshima sana, mstaarab, usiye na makuu, na zaidi zaidi mpambanaji.
Nakuahidi 'anytime, anything u got my support'...
Una redds zangu kama 20 hivi[emoji28]... Na nimekuandalia kadi ya sisiem[emoji23][emoji23]
Heri ya kuzaliwa Mpambanaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

😅😅😅😅😅😍😍😍😍😍 Am humbled u know...aisee kweli umekumbuka siku ya kuzaliwa ?hahaa ..nakumbuka nilikuambia siku1...am blessed...
Asante sana mkaka kunitakia heri...naamini Ktika vinywa vya watu wema...!NIOMBEE😊..
again thanks
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Am humbled u know...aisee kweli umekumbuka siku ya kuzaliwa ?hahaa ..nakumbuka nilikuambia siku1...am blessed...
Asante sana mkaka kunitakia heri...naamini Ktika vinywa vya watu wema...!NIOMBEE[emoji4]..
again thanks
NITAKUOMBEA KILA SIKU.. U GOT ME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Am humbled u know...aisee kweli umekumbuka siku ya kuzaliwa ?hahaa ..nakumbuka nilikuambia siku1...am blessed...
Asante sana mkaka kunitakia heri...naamini Ktika vinywa vya watu wema...!NIOMBEE[emoji4]..
again thanks
Vipi lakini hauhitaji bidhaa kutoka Congo.!? Maana Simba wanarudi, nadhani leo usiku kimya kimya.. [emoji28]
Screenshot_20190413-180202.jpeg
tapatalk_1555163339253.jpeg
tapatalk_1555082688802.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom