Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Vipi kuhusu wale mabikra 72 mlioaidiwa kule peponi??
Halafu unakuta mtu ana uhakika akifa anaenda piga mbupu bikra 72 lakini bado anakuwa anajificha kwa kuvaa mavazi ya kike huko gaza.🤣🤣🤣🤣 karibuni tule nimeagiza 🐖 na ndizi 4 za kuponda.
 
Ingekuwa dini, kila mmoja angekuwa anamuabudu kwa lugha yake. Lkn kama wote wanalazimishwa kumuabudu Mungu kwa lugha moja, basi nachelea kusema hiyo siyo dini. Ni mpango wa waarabu kueneza mila, desturi na tamaduni zao nje ya mipaka yao.
Jamaa una akili ndogo kama kisoda. Sasa hapo umeshindwa hata kufikiria kama kuna kitu kwenye hiyo dini mpaka wanatumia lugha unique.??? Unaswali popote unaingia msikiti wowote.?? Huoni kama ni dini ambayo ipo katika mpangilio mzuri na badala yake unageuza kibao kuwa udhaifu.?? Ama kweli ndugu zetu mna macho lakin hamuoni
 
Jamaa una akili ndogo kama kisoda. Sasa hapo umeshindwa hata kufikiria kama kuna kitu kwenye hiyo dini mpaka wanatumia lugha unique.??? Unaswali popote unaingia msikiti wowote.?? Huoni kama ni dini ambayo ipo katika mpangilio mzuri na badala yake unageuza kibao kuwa udhaifu.?? Ama kweli ndugu zetu mna macho lakin hamuoni

Maswali ya kujiuliza kabla ya kuandika hapa:
1. Wangapi wanazungumza hiyo lugha katika nchi yako?
2. Does the linguistic environment support the language growth?
3. Kila mmoja wa wafuasi wa imani hiyo wana uelewa fasaha wa lugha hiyo?
4. Kwa nini imani hiyo ifunganishwe na lugha fulani? Ina maana ibada yenu imekuwa locked 🔒 kwenye lugha hiyo pekee?
5. Hapo sijagusia mavazi.
6. Vyakula
7. Usanifu wa majengo yenu
 
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni:

  1. Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin)
    Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni "mwaminifu" kwa sababu watu walikuwa na imani naye sana katika masuala ya mali na siri zao.
  2. Huruma na Upole
    Alikuwa na huruma kubwa kwa wanadamu, wanyama, na mazingira. Aliwahurumia maskini, mayatima, na wale waliokandamizwa. Mtume Muhammad alihimiza watu kuwasaidia wengine, na upole wake ulionekana hata kwa maadui zake.
  3. Uvumilivu
    Katika nyakati za changamoto na mateso, Mtume Muhammad alionyesha uvumilivu mkubwa. Alivumilia mateso ya Maquraishi kwa miaka mingi kabla ya hijra kwenda Madina, na hakujibu mabaya kwa mabaya, bali aliwapa watu muda wa kutubu na kubadilika.
  4. Haki na Usawa
    Mtume Muhammad alikuwa mlinzi wa haki na usawa kati ya watu wa tabaka zote. Alipinga ubaguzi wa aina yoyote, iwe ni kwa rangi, rangi au hadhi ya kijamii. Alifundisha kuwa watu wote wako sawa mbele ya Mungu, na cheo kinachopimwa ni uchamungu wao.
  5. Unyenyekevu
    Licha ya kuwa kiongozi mkubwa na Mtume wa mwisho, Muhammad (S.A.W) aliishi maisha ya unyenyekevu. Alikataa anasa na maisha ya kifahari, na alikuwa mfano wa jinsi ya kuishi kwa unyenyekevu, bila ya kujali nafasi au cheo chake.
  6. Ujasiri
    Mtume Muhammad alionyesha ujasiri mkubwa katika kupigania haki na uadilifu. Aliongoza vita kadhaa bila woga kwa ajili ya kulinda dini na umma wake dhidi ya dhulma, huku akizingatia kanuni za haki hata wakati wa vita.
  7. Ukweli na Uaminifu
    Alikuwa mkweli daima, hata katika mazingira magumu au yanayotishia maisha yake. Hakuwahi kusema uwongo, na Waislamu wanamfuata katika kuwa waaminifu na kusema ukweli daima.
  8. Upendo kwa Familia na Wafuasi
    Mtume Muhammad alikuwa mume na baba mwenye upendo mkubwa. Alitenda haki na upendo kwa wake zake, watoto wake, na wafuasi wake wote. Aliwahimiza watu kuwapenda familia zao na kuwajali kwa moyo wa dhati.
  9. Uchaji Mungu na Ibada
    Mtume Muhammad alikuwa na ibada kubwa kwa Allah (S.W). Aliomba kwa bidii, alifunga sana, na alikuwa na uchaji wa kweli kwa Mwenyezi Mungu. Alikuwa mfano bora wa jinsi ya kuishi maisha ya kidini.
Sifa hizi zinamfanya Mtume Muhammad (S.A.W) kuwa mfano wa kipekee wa maadili na tabia njema kwa wanadamu wote.
Sawa hawa wa kujitoa muhanga wame copy wapi tabia hiyo
 
Sawa hawa wa kujitoa muhanga wame copy wapi tabia hiyo
Ukimuona mtu anajitoa muhanga ujue huyo kafanyiwa ukatili wa kupitiliza na hakuna msaada mwengine anapatiwa. Hii hata wakiristo wafanya sana. Enzi za hitler
 
Soma (Mathayo 26:29),

Akiwa na wanafunzi wake katika last supper, anawaambia sitakunywa tena mzabibu huu, Hadi pale atakapokunywa MBINGUNI.

Mbinguni Kuna kula na kunywa, ila habari za Kuoa mabikra 72 ni uongo wa Mudi, Mbinguni hakuna Kuoa na kuolewa, tutakuwa kama Malaika Mbinguni.

Amen
TuTakua kama malaika yani unamaanisha malaika hali wala hanywi na wala hana matamanio yotote sasa inakuaje biblia imewataja malaika ambao walioweza kuja kuzaa na wanadamu na kupelekea kuzaliwa kwa wanefilli na wakat ulishasema kua malaika hawana matamanio ya kinafsi
 
TuTakua kama malaika yani unamaanisha malaika hali wala hanywi na wala hana matamanio yotote sasa inakuaje biblia imewataja malaika ambao walioweza kuja kuzaa na wanadamu na kupelekea kuzaliwa kwa wanefilli na wakat ulishasema kua malaika hawana matamanio ya kinafsi
Malaika ni mtakatifu, msafi, akiasi tu, direct anakuwa Pepo aliyelaaniwa, Si tena Malaika.
 
Mbona hukusema alikuwa shababi wa kupiga mbupu mkuu unesahauu
 
Back
Top Bottom