The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
We kipilipili huna kitabu? Si kafiriiii tu weweWee mpemba mimi sina kitabu.
Nyie wenye kitabu na lugha bwaha..haha..haaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kipilipili huna kitabu? Si kafiriiii tu weweWee mpemba mimi sina kitabu.
Nyie wenye kitabu na lugha bwaha..haha..haaa
Yes. NI DINIKwani uislam ni dini?
Ile sifa yake ya kuwa millitary leader sijaiona hapo juu.Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni:
Sifa hizi zinamfanya Mtume Muhammad (S.A.W) kuwa mfano wa kipekee wa maadili na tabia njema kwa wanadamu wote.
- Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin)
Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni "mwaminifu" kwa sababu watu walikuwa na imani naye sana katika masuala ya mali na siri zao.- Huruma na Upole
Alikuwa na huruma kubwa kwa wanadamu, wanyama, na mazingira. Aliwahurumia maskini, mayatima, na wale waliokandamizwa. Mtume Muhammad alihimiza watu kuwasaidia wengine, na upole wake ulionekana hata kwa maadui zake.- Uvumilivu
Katika nyakati za changamoto na mateso, Mtume Muhammad alionyesha uvumilivu mkubwa. Alivumilia mateso ya Maquraishi kwa miaka mingi kabla ya hijra kwenda Madina, na hakujibu mabaya kwa mabaya, bali aliwapa watu muda wa kutubu na kubadilika.- Haki na Usawa
Mtume Muhammad alikuwa mlinzi wa haki na usawa kati ya watu wa tabaka zote. Alipinga ubaguzi wa aina yoyote, iwe ni kwa rangi, rangi au hadhi ya kijamii. Alifundisha kuwa watu wote wako sawa mbele ya Mungu, na cheo kinachopimwa ni uchamungu wao.- Unyenyekevu
Licha ya kuwa kiongozi mkubwa na Mtume wa mwisho, Muhammad (S.A.W) aliishi maisha ya unyenyekevu. Alikataa anasa na maisha ya kifahari, na alikuwa mfano wa jinsi ya kuishi kwa unyenyekevu, bila ya kujali nafasi au cheo chake.- Ujasiri
Mtume Muhammad alionyesha ujasiri mkubwa katika kupigania haki na uadilifu. Aliongoza vita kadhaa bila woga kwa ajili ya kulinda dini na umma wake dhidi ya dhulma, huku akizingatia kanuni za haki hata wakati wa vita.- Ukweli na Uaminifu
Alikuwa mkweli daima, hata katika mazingira magumu au yanayotishia maisha yake. Hakuwahi kusema uwongo, na Waislamu wanamfuata katika kuwa waaminifu na kusema ukweli daima.- Upendo kwa Familia na Wafuasi
Mtume Muhammad alikuwa mume na baba mwenye upendo mkubwa. Alitenda haki na upendo kwa wake zake, watoto wake, na wafuasi wake wote. Aliwahimiza watu kuwapenda familia zao na kuwajali kwa moyo wa dhati.- Uchaji Mungu na Ibada
Mtume Muhammad alikuwa na ibada kubwa kwa Allah (S.W). Aliomba kwa bidii, alifunga sana, na alikuwa na uchaji wa kweli kwa Mwenyezi Mungu. Alikuwa mfano bora wa jinsi ya kuishi maisha ya kidini.
Wa kunifundisha wewe ambaye naye huielewi? Nimekuuliza hiyo mistari niliyokuwekea ipo kwenye Quran au haipo?Surah Al-Baqarah - 190-192 - Quran.com
Ndiyo maana huwa tunawaambia tuwafundishe Quran,siyo unagugo tu unaanza kubwabwaja
kwani na nyie jobles mnaifurahia?Hayo mapumziko ambayo unayafurahia kuyapata kwa siku moja ya leo, ndio furaha ambayo sisi jobless tumeshaizoea mana tunaipata kila siku.
Hatuwezi kuchukia kitu ambacho imeshakuwa kama desturi yetu.kwani na nyie jobles mnaifurahia?
Makhurafi ndo manini hayo kaka??Acheni uongo nyie makhurafi siku alozaliwa haijulikani kitarehe ila siku alokufa ndo inojulikana kitarehe kwaio nyinyi mnasherekea kifo cha mtume na wala si kuzaliwa kwake
Washia ni makafiri?? Nipe elimu kidogo mzee...Katika uislamu hakuna sikukuu inayoitwa maulid.
Ni uzushi/ bidaa iliyoanzishwa na makafiri wa madhehebu ya kishia miaka ya nyuma waliokuwa wakiitawala nchi ya Misri.
Ikubalini tuu na sisi tupate siku ya kupumzikaMaulid ni uzushi , haifai kwa Muislamu kusherekea sherehe iliyobuniwa ambayo haina dalili wala hoja..
Mmmhkwa kipindi hicho ilikuwa sawa.
Na hata sasa ni sawa.sema siku hizi kuna serikali.
Mwenye aya au kifungu kinachohusu mabikra 72 atuletee hapa tusome na tujifunze hapo!
Correction:HIVI NI KWELI LAKINI KUWA MUDDY ALIOA KITOTO CHA MIAKA 9? NA BEFORE ALIKUWA NA LIJIMAMA LINAMLEA? ALIUPIGA MWINGI SANA.
Huyo wakristo wameharibu tarehe yake
Wewe si uleletewa tu hivyo dini na wazungu! Unajikuta mjuaji kuliko papa mwenyewe ambae ndie raisi wenuUkristo sio dini ya wazungu au ilimilikiwa na wazungu, Ukristo ni dini ambayo imetokana na events zilizotokea pale middle East, Ukristo ulianza na tukio la ufufuo wa yesu kristo(Resurrection).
Ukristo na ushoga ni vitu viwili tofauti, ukristo haukubali ushoga, ukiona mkristo au kiongozi ya dini wa kikristo ana hubiri mambo ya ushoga au ana support hayo mambo, mchukulie tuu kama mtu ambaye hajui ukristo vizur.
Yangu ndo hayo.
Wayahudi ni wahindi au wachina? Mbona wao wanampinga yesu?Wazungu sio waenezaji pekee wa dini ya kikristo, waenezaji wa kwanza walikuwa mitume, walioieneza kwanza Israel baada ya hapo wakatawanyika kwenda mataifa mbalimbali, wazungu unaowasemea wewe, wao wenyew walipelekewa dini ya ukristo na Mtume Paulo ambaye alikuwa ni myahudi.
Na kitu chingine ni kwamba ukristo ulikuwepo africa before colonialism, sio sehemu zote lakini Ethiopia ulikuwepo hapo.
Na kwenye ya ukristo Papa hana authority yoyote, na Papa neno lake halina authority yoyote mbele ya wakristo wanaojua dini yao kweli, wakristo wa kweli wanamsikiliza Yesu anasemaje na sio Binadamu mwenzake kisa tuu ni kiongozi wa dini.
Hapo vip![]()
Celebrating Mawlid al-Nabi (Muhammad’s Birthday): Allowed? - Islam Question & Answer
There is nothing in the Quran to say that we should celebrate the Mawlid al-Nabi or birthday of the Prophet Muhammad (peace and blessings be upon him). The Prophet himself did not do this or command anyone to do it, either during his lifetime or after his death.islamqa.info
Mada ipi nyingine?Hio ni mada nyingine kabisa, cha msingi nimekujibu sehemu ambazo nimeoa hujaelimika.
Mi naweza kukujibu hilo swali, je na mimi nikianza kukuletea maswali juu ya utume wa Muhammad utaweza hujibu??
Mbona baadhi ya misikiti hawajafanya swala?Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni: