Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Asante sana patience 123, nimekuelewa na nisamehe.
 
Mkuu mtoto huyu mapepe karusha dongo kuwa ulishawahi mtongoza akakutoa baru. Kuishi na huyu ni kazi kweli kweli labda uwe Bushoke. Sijui nitatukanwa na mimi maana nina mpango wa kukatongoza PM!
Ukisha mtongoza ndo utajua kama utatukanwa au utapongezwa, Ila wanaume wa jf wengi wenu mnautaahila
 
Ila mimi naona sio jambo zuri kutoa siri za ndani ya ndoa. Fikiria kama mume wako akipita humu halafu akakuta umeanika ya ndani atajisikiaje, tena na avatar yako inaonekana kabisa daah
 
Kama huyu mwanamke kweli kaolewa basi hakuwa na sifa za kuolewa ndio maana anapablish kila hatua ya ndoa yake, either alikuwa kicheche sana au umri wa kuolewa ulikuwa umeshapita kwa hiyo anakuwa haminiamini km kaolewa.
Unahakika au ndo sizitaki mbichi hizi kumbe si level yako
 
Anajifagilia tu huyo sinaga mtindo wa kumwaga sera kwa wanaojiita madem wa jf huenda hata akawa dume, labda msomeshe tu maana anaonekana anatafuta bwana huyo, usitishike na kurusha kwake mateke mlainishe usikute anakamlika kirahisi tu.
Mtakesha sana mkunijadiri mie ndo nshaolewa hivyo
 
Na usisahau kuitupa simu yako ya zamani au futa mijimambo na siri zetu zooote asione your hubby bila Kusahau picha za MPINGO nilizokutumia na mimi nafuta picha za KYUMA chako ulizonitumia sababu mme wako ni MKURYA.
Mpumba..vuu wewe umekimbia jandoni ndo maana mpka Leo unatabia za kike we endelea kugawa tigo kwa wanaume wenzio
 
Basi Dada poyoyo hajui ushauri gani achukue na upi aache akitwambia vyote hivyo vinatusaidia nini? Namuonea sana huruma huyo mwanaume kama yuko humu ameoa jipu
Poyoyo anaweza kuwa mkeo au mamayo
 
Huwezi kuishi na mwanamke wa staili vipi alikula 0713
 
Hongera mama ila nadhani ni muda wa kuacha kuanika maisha yako ya ndoa humu........umepata mume kutoka humu ni vyema ila anza kuweka mipaka sasa....ukipata mimba/ukijifungua utakuja kusema tena humu???? Ol the best mamito
Asante but sichaguliwi cha kufanya chchte ntakachojisikia kukitumbukiza humy sitassita kufanya hivyo kwani ninajua nilifanyalo nyie wa vijijini endeleeni kutunza siri hata kama mkidaiwa tigo nakutoe tunze tu siri mwisho wa siku mtajaza Ccbrt kuomba matibabu
 
are you serious umeolewa? hujisikii aibu kueleza humu habari za mumeo tena wa ndoa changa humu? umetuaibisha! siku ukilala njaa utamtangaza pia. hebu acha hizo tabia mambo ya mmeo ni yenu wawlili. muone
I can't believe this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…