Bibi harusi pumzika mme wako anakuhitajiAsante kaka ngoja nitulie..Ila sidhan kama ntaweza
Siyo bure wengi wanao shambulia hapa walinitaka PM nikakataa na imani yao kubwa ilikuwa mume wangu angeshindwa game wape chance sasa wameona kaweza ndo hasira zinaishia kwangu but wamebugi vibaya mim mwenyewe comandooHaaaa jamani nilimuone huruma mmemshambulia maskini..
Mmmm
Yaani wakati naandika haya na yeye alikuwepo na aliona..Ila umbea wenu sasa balaa mpaka mipovu inawatokaIla mimi naona sio jambo zuri kutoa siri za ndani ya ndoa. Fikiria kama mume wako akipita humu halafu akakuta umeanika ya ndani atajisikiaje, tena na avatar yako inaonekana kabisa daah
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,
Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
mke wa mtu ya ndan unayaweka jf wamekutolea mahar hawaHbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Long time broAlfu Lela U Lela
Siyo bure wengi wanao shambulia hapa walinitaka PM nikakataa na imani yao kubwa ilikuwa mume wangu angeshindwa game wape chance sasa wameona kaweza ndo hasira zinaishia kwangu but wamebugi vibaya mim mwenyewe comandoo
Ninamjua moniccca vizuri nimesoma nae St Francis na baadae ifm..ni mtu mwenye nidhan sana watakuwa wamemkoroga ndiyo maana amewajibu hivyo..wengi waliomba mrejesho na yeye ndivyo alivyofanya sasa mashambulizi yanatoka wapi? Ange kaa kimya wasingenyamaza wangemdai mrejesho! Acheni hizo bana kuweni wastaarabu msitafute undani wa mtu.moniccca cool down my dear... Sio vizuri kuendelea na haya majibizano humu. We potezea tu
Bity za siku mamy ? Nimefurahi kukusikia..Ninamjua moniccca vizuri nimesoma nae St Francis na baadae ifm..ni mtu mwenye nidhan sana watakuwa wamemkoroga ndiyo maana amewajibu hivyo..wengi waliomba mrejesho na yeye ndivyo alivyofanya sasa mashambulizi yanatoka wapi? Ange kaa kimya wasingenyamaza wangemdai mrejesho! Acheni hizo bana kuweni wastaarabu msitafute undani wa mtu.
Isitoshe hapa tunaojuana ni wachache sana.