Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Hivi huko kwenu hakuna wastaarabu mnakuja kuomba ustaarabu humu kwetu jf...!

Mwambie huyo mwolewa akarudie desa za mkoreni..
 
kuna namna hapa sio bure

Matambo On Fleek
 
Kawaida shoga si unajua tena humu wengi wanywa gongo na viroba
Wewe ni taila kweli. Kama ulijua humu ni wanywa gongo na viroba nani alikulazimisha upost ujinga wako kwa wanywa gongo na viroba?

Mwanamke umeolewa juz 2 ila domo chafuuuuuu
 
Halaf huyu kama na mjua vile; Je ni mchanee!? Nauliza tena ni mchaneee?
 
Huko kwenye kulala na njaa mi nilishavuka kitambo..namshukuru Mungu kwa kweli labda useme lingine kama unalo plz
Haaa nimekusoma kuwa wwe mwanamke kwanza unamajivuno yakizamani na kishamba kweli. Et mimi kulala na njaa nimeshavuka kitambo.... una bwbwaja hta hujifikirii.. nani dunia hii kavuka matatizo....nani dunia hii anajua kesho itakuaje..uyo mwanaume namuhurumia ameokota limao kwenye mchungwa.
 
Siyo bure wengi wanao shambulia hapa walinitaka PM nikakataa na imani yao kubwa ilikuwa mume wangu angeshindwa game wape chance sasa wameona kaweza ndo hasira zinaishia kwangu but wamebugi vibaya mim mwenyewe comandoo
Sio kila mwanaume anaye kuPM ujisifu kuwa alikuwa anakupenda wengne team mafidi wataka dudu 2 waendezao.
 
Yaani wakati naandika haya na yeye alikuwepo na aliona..Ila umbea wenu sasa balaa mpaka mipovu inawatoka
Si umeisha mfanya zoba mpaka akakuoa. Wajanja si walitoka nduki kitambooo mbna!!!
 
sio wa dar?
 
wahenga walisema'mficha maradhi kifo humfichua' mwache amwagike ili ashauriwe
 
inaonekana ulishawahi kufanya kazi kwenye kitengo cha ushauri nasaha wewe,
 
Hongera ila kumbuka kwamba kuna kiwango cha juu zaidi.....
 
Siyo kweli huyo ni mcharuko mpole hawezi kuwa hivyo
 
Wewe ni taila kweli. Kama ulijua humu ni wanywa gongo na viroba nani alikulazimisha upost ujinga wako kwa wanywa gongo na viroba?

Mwanamke umeolewa juz 2 ila domo chafuuuuuu
Huwa linasafishwa na nin nilisafishe liwe safi kbsa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…