Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Dah siku ya nne tu tayari mambo ya chumbani na mmeo yameshafika mpaka jf? 🙁...aisee watafute walikufunda warudie tena darsa
 
Basi usichepuke sasa maana unavyoonekana huchelewi kwenda kutafuta dushe lingine kubwa zaidi
Ningekuwa sikawii hata wewe ningekushobokea.. Lakn wew ni shahidi na majaribio yako yote ulifeli wala huna hamu na Mimi mpu...uzi wa kienyeji we
 
Sijui umejuaje ikiwa anakuridhisha Kwa haki ya juu ukilinganisha Na bwana zako wa nyuma.....?
Ujue ya ndani yanabakia ndani, ndoa sio kila kitu cha kuropoka....!
 
Ningekuwa sikawii hata wewe ningekushobokea.. Lakn wew ni shahidi na majaribio yako yote ulifeli wala huna hamu na Mimi mpu...uzi wa kienyeji we
Ushauri tu lakini, ulipaswa kuufanyia kazi au kuuacha mbona unakasirika haraka hivyo? au nimegusa ikulu nini? poyeeee...
 
Ushauri tu lakini, ulipaswa kuufanyia kazi au kuucha mbona unakasirika haraka hivyo? au nimegusa ikulu nini? poyeeee...
Yako yanakushinda ya wenzio ndo utayaweza ? Dume zima Lina tabia za kike
 
Sijui umejuaje ikiwa anakuridhisha Kwa haki ya juu ukilinganisha Na bwana zako wa nyuma.....?
Ujue ya ndani yanabakia ndani, ndoa sio kila kitu cha kuropoka....!
Daaa kumbe nimeropoka!!!?[emoji15]
 
Hiyo ndoa kila siku mitandaoni kama kweli umeolewa tulia achana na mambo ya mitandao ushakuwa mke wa mtu wewe. La sivyo ndoa itakushinda
 
Yako yanakushinda ya wenzio ndo utayaweza ? Dume zima Lina tabia za kike
Usikasirike basi mpendwa, ya humu yasikukasirishe na wewe, kujuana kwenyewe hatujuani na wala sizani km itatokea just take it easy, huu mchezo hauhitaji hasira jaman! ushaolewa hlf bado unakasirikakasirika bila formula.
 
Mambo ya ndani ya ndoa sio lazma yawekwe kwnye mitandao.
Ww co wa kwanza kufunga ndoa wapo wengi lakn hawasemi.
Ss ww leo siku ya nne unataka kila mtu ajue yanajili ktk ndoa yako duuuh.
A word of advice "co lazma kila kitu unachojickia ww kiwe thread"
Au ndo ulimbukeni wa ndoa
 
Haya mambo huwa ni siri ya chumbani,unaridhishwa au huridhishwi ilitakiwa iwe ni siri yako ya moyoni,ilitosha sana kumuomba radhi mumeo kwa hayo uliyomdhania mkiwa wawili chumbani,ndiyo maana hayo mambo yanaitwa "UNYUMBA" hayatakiwi kuvuka kizingiti cha mlango,japo tunatumia hidden IDs,hutakiwi kutuambia kila kitu cha chumbani kwenu. Asante.
 
Usikasirike basi mpendwa, ya humu yasikukasirishe na wewe, kujuana kwenyewe hatujuani na wala sizani km itatokea just take it easy, huu mchezo hauhitaji hasira jaman! ushaolewa hlf bado unakasirikakasirika bila formula.
Mkuu mtoto huyu mapepe karusha dongo kuwa ulishawahi mtongoza akakutoa baru. Kuishi na huyu ni kazi kweli kweli labda uwe Bushoke. Sijui nitatukanwa na mimi maana nina mpango wa kukatongoza PM!
 
Haya ni matatizo ndugu yangu,anayetangaza mambo yake ya kitandani ni sawa na anayefanyia peupe hadharani,huyo mumewe naye ana kazi.
 
Kama huyu mwanamke kweli kaolewa basi hakuwa na sifa za kuolewa ndio maana anapablish kila hatua ya ndoa yake, either alikuwa kicheche sana au umri wa kuolewa ulikuwa umeshapita kwa hiyo anakuwa haminiamini km kaolewa.
 
Mkuu mtoto huyu mapepe karusha dongo kuwa ulishawahi mtongoza akakutoa baru. Kuishi na huyu ni kazi kweli kweli labda uwe Bushoke. Sijui nitatukanwa na mimi maana nina mpango wa kukatongoza PM!
Anajifagilia tu huyo sinaga mtindo wa kumwaga sera kwa wanaojiita madem wa jf huenda hata akawa dume, labda msomeshe tu maana anaonekana anatafuta bwana huyo, usitishike na kurusha kwake mateke mlainishe usikute anakamlika kirahisi tu.
 
moniccca asante kwa mrejesho lakini bado ni mapema sana sana
Kuna mengi yanakuja jiandae
-mihemko na furaha za ndoa vitakapoisha
-ndugu watakaokuja kuwatembelea
-tabia zenu zilozofichika zitakapoanza kuonekana kwakuwa sasa mko pamoja kila siku kitanda kile kile
-kipindi cha mpito cha kuishiwa
-kipindi cha mimba
-kipindi cha kulea
-migogoro hasa itakayoletwa na ushiriki mitandaoni
-mmoja wenu kumchoka mwenzake kwa namna fulani
Vikipita hivi vipindi salama fanya tathmini ya ndoa sasa
All in all nawaombea sana na upunguze kwa kiwango kikubwa haya mambo kuyaleta mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…