Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa sikawii hata wewe ningekushobokea.. Lakn wew ni shahidi na majaribio yako yote ulifeli wala huna hamu na Mimi mpu...uzi wa kienyeji weBasi usichepuke sasa maana unavyoonekana huchelewi kwenda kutafuta dushe lingine kubwa zaidi
Ushauri tu lakini, ulipaswa kuufanyia kazi au kuuacha mbona unakasirika haraka hivyo? au nimegusa ikulu nini? poyeeee...Ningekuwa sikawii hata wewe ningekushobokea.. Lakn wew ni shahidi na majaribio yako yote ulifeli wala huna hamu na Mimi mpu...uzi wa kienyeji we
Usikasirike basi mpendwa, ya humu yasikukasirishe na wewe, kujuana kwenyewe hatujuani na wala sizani km itatokea just take it easy, huu mchezo hauhitaji hasira jaman! ushaolewa hlf bado unakasirikakasirika bila formula.Yako yanakushinda ya wenzio ndo utayaweza ? Dume zima Lina tabia za kike
Haya mambo huwa ni siri ya chumbani,unaridhishwa au huridhishwi ilitakiwa iwe ni siri yako ya moyoni,ilitosha sana kumuomba radhi mumeo kwa hayo uliyomdhania mkiwa wawili chumbani,ndiyo maana hayo mambo yanaitwa "UNYUMBA" hayatakiwi kuvuka kizingiti cha mlango,japo tunatumia hidden IDs,hutakiwi kutuambia kila kitu cha chumbani kwenu. Asante.Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Mkuu mtoto huyu mapepe karusha dongo kuwa ulishawahi mtongoza akakutoa baru. Kuishi na huyu ni kazi kweli kweli labda uwe Bushoke. Sijui nitatukanwa na mimi maana nina mpango wa kukatongoza PM!Usikasirike basi mpendwa, ya humu yasikukasirishe na wewe, kujuana kwenyewe hatujuani na wala sizani km itatokea just take it easy, huu mchezo hauhitaji hasira jaman! ushaolewa hlf bado unakasirikakasirika bila formula.
Haya ni matatizo ndugu yangu,anayetangaza mambo yake ya kitandani ni sawa na anayefanyia peupe hadharani,huyo mumewe naye ana kazi.Mambo ya ndani ya ndoa sio lazma yawekwe kwnye mitandao.
Ww co wa kwanza kufunga ndoa wapo wengi lakn hawasemi.
Ss ww leo siku ya nne unataka kila mtu ajue yanajili ktk ndoa yako duuuh.
A word of advice "co lazma kila kitu unachojickia ww kiwe thread"
Au ndo ulimbukeni wa ndoa
Hehehehe siku hz jf drama aka bongo movies nyingi sanaMara hii ushaolewa?
Juzi Juzi tu tumekushauri au kitu cha mkeka???
Just for fun napita tu na hongera sana
Anajifagilia tu huyo sinaga mtindo wa kumwaga sera kwa wanaojiita madem wa jf huenda hata akawa dume, labda msomeshe tu maana anaonekana anatafuta bwana huyo, usitishike na kurusha kwake mateke mlainishe usikute anakamlika kirahisi tu.Mkuu mtoto huyu mapepe karusha dongo kuwa ulishawahi mtongoza akakutoa baru. Kuishi na huyu ni kazi kweli kweli labda uwe Bushoke. Sijui nitatukanwa na mimi maana nina mpango wa kukatongoza PM!