Wee binti acha kukana kwenu, siyo vizuri!Mie Wa Kanda maalumu Si Wa dar.
Sie hatupo hvo.
Nimebahatika eti?
Anatoa updates kama kwenye mchezo kwa watu walio mbali na luninga ndoa za miaka hii ila hongeraLeo siku ya 4 katika ndoa unapata wapi muda wa kuingia kwenye mitandao, tulia na mwenzi wako ni mapema mno kwako kuanza kupost vitu kwenye hii mitandao ya kijamii.
Daaa kumbe nimeropoka!!!?[emoji15]
Monica vipi yule Boss aliye fumaniwa ofisini aki do na Secretary wake ofisini yeye badohajavuta kifaa kingine baada ya my wife wake kusepa?!!Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.
Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.
Monicca wa watu hata hakumaanisha vibaya alikuwa ana share news na sisi na vile vile hata hatujuwaniAhhhhhhhh!!! Acheni kumsakama dada yangu please, just give her a break!!..... Mlikuwa mnalalamika kutwa nzima kuwa hawapi mrejesho, sasa ameleta mrejesho mnamchenjia/mnamsakama!!..... Sasa mlikuwa mnataka mrejesho gani???.... Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Hicho Kiwango kizuri Jamaa Game ya kwanza alipiga ngapi???
Haaaaa jamani nimekosea wapi lolNa wewe! Umbea tu...
Haaaaa jamani nimekosea wapi lol[/QUOTE
Haaaa jamani nilimuone huruma mmemshambulia maskini..Yani unataka ujue hadi idadi ya magoli... Unataka umpimishie mme mpya kama anajiweza kiasi gani?
Inaonekana unapajua kwetu vzuriWee binti acha kukana kwenu, siyo vizuri!
Hahaha, hongera mzee naona umepongezwa kwa perfomamceNi mekusamehe mke wangu. Pia nakushukuru kwa kunikubali kwa shuguli. Hata hivyo napenda kukufahamisha kwamba wakati nikiwa nakusubiria wewe hadi ndoa, nilikuwa napraktizi kwa wadada wengine wawili ambao wewe huwajui (na si vizuri kuwajua) ndio maana umeona pafomansi yangu iko juu. si ushawahi kusikia ka msemo kakizungu ka "praktisi meks pafecti?". Ila naamini nawe utanisamehe kama nilivyokusamehe.