Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo siku ya 4 katika ndoa unapata wapi muda wa kuingia kwenye mitandao, tulia na mwenzi wako ni mapema mno kwako kuanza kupost vitu kwenye hii mitandao ya kijamii.
 
Nimebahatika eti?

Ndio monicca yaani siku 4 tu umefikishwa kibo [emoji12] wakati wengine wanaanza "shake b4 use" miaka 5 hadi ndoa wanaishia moshi mjini tu wanabaki kuuona kibo na mawenzi kwa darubidi au siku isiyokuwa mawingu [emoji28] hadi menopause [emoji30]
 
Leo siku ya 4 katika ndoa unapata wapi muda wa kuingia kwenye mitandao, tulia na mwenzi wako ni mapema mno kwako kuanza kupost vitu kwenye hii mitandao ya kijamii.
Anatoa updates kama kwenye mchezo kwa watu walio mbali na luninga ndoa za miaka hii ila hongera
 
are you serious umeolewa? hujisikii aibu kueleza humu habari za mumeo tena wa ndoa changa humu? umetuaibisha! siku ukilala njaa utamtangaza pia. hebu acha hizo tabia mambo ya mmeo ni yenu wawlili. muone
 
Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.

Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.
Monica vipi yule Boss aliye fumaniwa ofisini aki do na Secretary wake ofisini yeye badohajavuta kifaa kingine baada ya my wife wake kusepa?!!
 
Bila shaka ameelewa ataacja ujinga kama kwel na mumeo anafurahia haya basi wote viaz
 
Ahhhhhhhh!!! Acheni kumsakama dada yangu please, just give her a break!!..... Mlikuwa mnalalamika kutwa nzima kuwa hawapi mrejesho, sasa ameleta mrejesho mnamchenjia/mnamsakama!!..... Sasa mlikuwa mnataka mrejesho gani???.... Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Monicca wa watu hata hakumaanisha vibaya alikuwa ana share news na sisi na vile vile hata hatujuwani
 
Had kichefuchefu,aibu naona mimi,hizo ndo ndoa za fashion,,ya ndani yanakua ya nje na ya nje yanakua ya ndani
 
Ni mekusamehe mke wangu. Pia nakushukuru kwa kunikubali kwa shuguli. Hata hivyo napenda kukufahamisha kwamba wakati nikiwa nakusubiria wewe hadi ndoa, nilikuwa napraktizi kwa wadada wengine wawili ambao wewe huwajui (na si vizuri kuwajua) ndio maana umeona pafomansi yangu iko juu. si ushawahi kusikia ka msemo kakizungu ka "praktisi meks pafecti?". Ila naamini nawe utanisamehe kama nilivyokusamehe.
Hahaha, hongera mzee naona umepongezwa kwa perfomamce
 
Hata kama kuna tatizo huwezi kusema mpaka yakufike shingoni..
 
Siku nyingine usiseme "nachukua nafasi hii"

Unapaswa kusema "Natumia nafasi hii"

Nafasi ni yako hivyo unaitumia. (Unaichukua unaipeleka wapi)
 
Back
Top Bottom