Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

ila
Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.

Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.
monica nakuasa sana kumpa jamaa vizuri ila kama hizi siku 4 tuu umemkubali mpe muda wa siku 7! nadhani bado mko hotelini! mkienda nyumbani perfomance inaweza shuka kutokana na stress za kimaisha na kodi pia
 
Umeshaanza hesabu siku, kazi yako ilitakiwa iwe kula na kusuguliwa tu, ukishtuka mwaka umeisha

wewe uko JF na siku unazihesabu, kweli kazi unayo
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
Chumvini a.k.a uvinza kaenda?pi hupaswi kulala na na nguo ya ndani labda zile siku
moniccca
 
ila

monica nakuasa sana kumpa jamaa vizuri ila kama hizi siku 4 tuu umemkubali mpe muda wa siku 7! nadhani bado mko hotelini! mkienda nyumbani perfomance inaweza shuka kutokana na stress za kimaisha na kodi pia
Tumesharud home tangu jana..kodi ya nini? Kama ni nyumba tumeshavuka hatua hiyo kitambo..nimekuwa mama mwenye nyumba tangu natoka mikononi mwa wazazi
 
Umeshaanza hesabu siku, kazi yako ilitakiwa iwe kula na kusuguliwa tu, ukishtuka mwaka umeisha

wewe uko JF na siku unazihesabu, kweli kazi unayo
Ni mtazamo wako tu..bila Shaka ukitumie uelewa wa drs la pili tu hutasema hivyo tena
 
wwe
wewe nawe una wivu! mwache mwezio aseme yote hapa! inaonekana Monica ni maji mara moja! hata sasa nikitaka kugonga ni ruksa!
Kumbe! haya jaribu ugonge Mara moja tuone
 
hahah
Tumesharud home tangu jana..kodi ya nini? Kama ni nyumba tumeshavuka hatua hiyo kitambo..nimekuwa mama mwenye nyumba tangu natoka mikononi mwa wazazi
hahaha! ujatupa mrejesho wa bao ngapi per night! je pia bafuni anapiga kimoja! na jikoni vip! mzee anasemaje kuhusu mashine yako! tight au bahari!(anaogelea)
 
Bado anausongo nayo, ngoja aizoee ndio utajua maana ya kiumeni.
 
hahah

hahaha! ujatupa mrejesho wa bao ngapi per night! je pia bafuni anapiga kimoja! na jikoni vip! mzee anasemaje kuhusu mashine yako! tight au bahari!(anaogelea)
Ukimtafuta yeye utapata majibu sahihi
 
sir za chumban unasimulia majiran iwe mara ya mwisho utaibiwa tena hawa maashost wa kibongo endelea utatupa mrejesho
 
Hahahaa na we mtimizie kila atakapohitaji la sivyo mke mwenza anakusubiri
Mi ninavyojua hata kama hakuridhishi uwezi kumsema vibaya ndoa ywnyewe siku 4 tu
 
kaa ule dudu now mda wa JF punguza, mpe mumeo yote mpaka achanganyikiwe yaani mpe show ya kufa papa wemba
 
Wa dar wamedhalilishwa vya kutosha,sasa huo ndio mrejesho "kuntu" juu ya nafasi ya mwanaume wa dar katika sekta hiyo nyeti.Hakika dyudyu huleta faraja palipo na huzuni na pia huleta uwazi palipo na siri, heshima kwako "dyudyu"
 
Back
Top Bottom