ila
monica nakuasa sana kumpa jamaa vizuri ila kama hizi siku 4 tuu umemkubali mpe muda wa siku 7! nadhani bado mko hotelini! mkienda nyumbani perfomance inaweza shuka kutokana na stress za kimaisha na kodi piaUsisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.
Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.