Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Ungejua yupo kifuani kwangu tunachungulia jf pamoja usinge jishaua
Huyo bwanawako atakuwa anashida, au wewe huna mvuto!

Honeymoon mnatakiwa kukaa bila chupi, full kubiduana! Ni kulala, kuoga, kugegeda na kula then mnaanza upya! Mpaka mmoja aombe pooo ndo honeymoon inaisha
 
moniccca asante kwa mrejesho lakini bado ni mapema sana sana
Kuna mengi yanakuja jiandae
-mihemko na furaha za ndoa vitakapoisha
-ndugu watakaokuja kuwatembelea
-tabia zenu zilozofichika zitakapoanza kuonekana kwakuwa sasa mko pamoja kila siku kitanda kile kile
-kipindi cha mpito cha kuishiwa
-kipindi cha mimba
-kipindi cha kulea
-migogoro hasa itakayoletwa na ushiriki mitandaoni
-mmoja wenu kumchoka mwenzake kwa namna fulani
Vikipita hivi vipindi salama fanya tathmini ya ndoa sasa
All in all nawaombea sana na upunguze kwa kiwango kikubwa haya mambo kuyaleta mitandaoni
Havacha kaka
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
Uje hapa baada ya miaka 2 kutoa mrejesho!
 
This is funny .. Ahaaaaahaaahaaahaa... Haki Jf ni Raha ....Never boring.. Thanks
 
Kaah mbona unayaanika sana mambo ya ndani mwako?
 
ni muda mfupi sana.

Istoshe kuna mwimbaji ameimba kuwa 'kipimo cha upendo ni wakati wa matatizo'
 
Ahhhhhhhh!!! Acheni kumsakama dada yangu please, just give her a break!!..... Mlikuwa mnalalamika kutwa nzima kuwa hawapi mrejesho, sasa ameleta mrejesho mnamchenjia/mnamsakama!!..... Sasa mlikuwa mnataka mrejesho gani???.... Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
 
Sas wewe kila kitu utakileta hapa huu mumeo naye anakuruhusu tu kah! Umeshapata mume Jf basi endelea na maisha kah
 
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.

Una akili sana wewe. Sina bahati ningekuoa ili unitunzie siri
 
Ahhhhhhhh!!! Acheni kumsakama dada yangu please, just give her a break!!..... Mlikuwa mnalalamika kutwa nzima kuwa hawapi mrejesho, sasa ameleta mrejesho mnamchenjia!!..... Sasa mlikuwa mnataka mrejesho gani???.... Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Alishaleta mrejesho kapata mchumba tukampongeza siku ya harusi tukampongeza hayo mengine waendelee sasa kwa hiyo akigegedwa akapewa mimba atakuwa n kitumbua tena this is stupid, wewe mume uliyemuoa huyo Dada umemruhusu alete siri zenu humu?
 
Havacha kaka
Na usisahau kuitupa simu yako ya zamani au futa mijimambo na siri zetu zooote asione your hubby bila Kusahau picha za MPINGO nilizokutumia na mimi nafuta picha za KYUMA chako ulizonitumia sababu mme wako ni MKURYA.
 
Alishaleta mrejesho kapata mchumba tukampongeza siku ya harusi tukampongeza hayo mengine waendelee sasa kwa hiyo akigegedwa akapewa mimba atakuwa n kitumbua tena this is stupid, wewe mume uliyemuoa huyo Dada umemruhusu alete siri zenu humu?
NOOO!!! , mimi nitamtetea daima kwa sababu nakumbuka vyema kabisa kuwa baada ya kutangaza kuwa anafunga ndoa siku ile kesho yake member wengi wa JF walimsumbua sana kuwa alete mrejesho kuhusu jamaa kama ni mzima au laa, ana kibamia au laa, kapiga bao ngapi, usiku wa mgegedo ulikuwaje e.t.c,halafu dada amejitahidi kuleta mrejesho tena kwa kifupi sana halafu mnamsakama!!!.... Huo siyo unafiki????
 
NOOO!!! , mimi nitamtetea daima kwa sababu nakumbuka vyema kabisa kuwa baada ya kutangaza kuwa anafunga ndoa siku ile kesho yake member wengi wa JF walimsumbua sana kuwa alete mrejesho kuhusu jamaa kama ni mzima au laa, ana kibamia au laa, kapiga bao ngapi, usiku wa mgegedo ulikuwaje e.t.c,halafu dada amejitahidi kuleta mrejesho tena kwa kifupi sana halafu mnamsakama!!!.... Huo siyo unafiki????
Basi Dada poyoyo hajui ushauri gani achukue na upi aache akitwambia vyote hivyo vinatusaidia nini? Namuonea sana huruma huyo mwanaume kama yuko humu ameoa jipu
 
Basi Dada poyoyo hajui ushauri gani achukue na upi aache akitwambia vyote hivyo vinatusaidia nini? Namuonea sana huruma huyo mwanaume kama yuko humu ameoa jipu
Mimi kinachoniuma ni kwamba wale wale waliokuwa wanamuomba mrejesho ndo hao hao wanajifanya malaika na kupaza sauti kuwa dada amekosea!!!....huo ni unafiki!!
 
Hongera mama ila nadhani ni muda wa kuacha kuanika maisha yako ya ndoa humu........umepata mume kutoka humu ni vyema ila anza kuweka mipaka sasa....ukipata mimba/ukijifungua utakuja kusema tena humu???? Ol the best mamito
 
Sasa mambo yenu ya kitandani ndyo unayafanyia matangazo. Yanni kama ungekuwa umeolewa na mimi tyari ni kasoro kwangu maana mwanamke unakiherere cha hali ya juu.
 
Back
Top Bottom