Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe mwanzilishi akudadavue neno marinda miss chagga. Ila angalia sana usipende sana hadi akayafumua haraka nenda taratibu atatue angalau zikipita siku 100Marinda ndiyo nini?
Huyo bwanawako atakuwa anashida, au wewe huna mvuto!Ungejua yupo kifuani kwangu tunachungulia jf pamoja usinge jishaua
Havacha kakamoniccca asante kwa mrejesho lakini bado ni mapema sana sana
Kuna mengi yanakuja jiandae
-mihemko na furaha za ndoa vitakapoisha
-ndugu watakaokuja kuwatembelea
-tabia zenu zilozofichika zitakapoanza kuonekana kwakuwa sasa mko pamoja kila siku kitanda kile kile
-kipindi cha mpito cha kuishiwa
-kipindi cha mimba
-kipindi cha kulea
-migogoro hasa itakayoletwa na ushiriki mitandaoni
-mmoja wenu kumchoka mwenzake kwa namna fulani
Vikipita hivi vipindi salama fanya tathmini ya ndoa sasa
All in all nawaombea sana na upunguze kwa kiwango kikubwa haya mambo kuyaleta mitandaoni
Uje hapa baada ya miaka 2 kutoa mrejesho!Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,
Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
Alishaleta mrejesho kapata mchumba tukampongeza siku ya harusi tukampongeza hayo mengine waendelee sasa kwa hiyo akigegedwa akapewa mimba atakuwa n kitumbua tena this is stupid, wewe mume uliyemuoa huyo Dada umemruhusu alete siri zenu humu?Ahhhhhhhh!!! Acheni kumsakama dada yangu please, just give her a break!!..... Mlikuwa mnalalamika kutwa nzima kuwa hawapi mrejesho, sasa ameleta mrejesho mnamchenjia!!..... Sasa mlikuwa mnataka mrejesho gani???.... Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Na usisahau kuitupa simu yako ya zamani au futa mijimambo na siri zetu zooote asione your hubby bila Kusahau picha za MPINGO nilizokutumia na mimi nafuta picha za KYUMA chako ulizonitumia sababu mme wako ni MKURYA.Havacha kaka
NOOO!!! , mimi nitamtetea daima kwa sababu nakumbuka vyema kabisa kuwa baada ya kutangaza kuwa anafunga ndoa siku ile kesho yake member wengi wa JF walimsumbua sana kuwa alete mrejesho kuhusu jamaa kama ni mzima au laa, ana kibamia au laa, kapiga bao ngapi, usiku wa mgegedo ulikuwaje e.t.c,halafu dada amejitahidi kuleta mrejesho tena kwa kifupi sana halafu mnamsakama!!!.... Huo siyo unafiki????Alishaleta mrejesho kapata mchumba tukampongeza siku ya harusi tukampongeza hayo mengine waendelee sasa kwa hiyo akigegedwa akapewa mimba atakuwa n kitumbua tena this is stupid, wewe mume uliyemuoa huyo Dada umemruhusu alete siri zenu humu?
Basi Dada poyoyo hajui ushauri gani achukue na upi aache akitwambia vyote hivyo vinatusaidia nini? Namuonea sana huruma huyo mwanaume kama yuko humu ameoa jipuNOOO!!! , mimi nitamtetea daima kwa sababu nakumbuka vyema kabisa kuwa baada ya kutangaza kuwa anafunga ndoa siku ile kesho yake member wengi wa JF walimsumbua sana kuwa alete mrejesho kuhusu jamaa kama ni mzima au laa, ana kibamia au laa, kapiga bao ngapi, usiku wa mgegedo ulikuwaje e.t.c,halafu dada amejitahidi kuleta mrejesho tena kwa kifupi sana halafu mnamsakama!!!.... Huo siyo unafiki????
Mimi kinachoniuma ni kwamba wale wale waliokuwa wanamuomba mrejesho ndo hao hao wanajifanya malaika na kupaza sauti kuwa dada amekosea!!!....huo ni unafiki!!Basi Dada poyoyo hajui ushauri gani achukue na upi aache akitwambia vyote hivyo vinatusaidia nini? Namuonea sana huruma huyo mwanaume kama yuko humu ameoa jipu