Leo ni siku yangu ya kuzaliwa........bia soda na nyama nitawa update badae

ha ha ha! mkuu kwasababu ya kipunga ndiyo hujasema? ha ha ha ha! karibu tena...

Daughter sio huyu best yangu kiwatengu, kuna mtu anajiita sijui Sungura mtoto sina uhakika na hilo jina, nashindwa kumuelewa kabisa mtu huyo.
Watu tunachit chat hapa lakini nashangaa mtu mzima anatoa maneno ya vitisho...
 
Last edited by a moderator:

Safi mkuu! ukija tutavuka na mto kabisa, uione na mozambique...
 
Daughter sio huyu best yangu kiwatengu, kuna mtu anajiita sijui Sungura mtoto sina uhakika na hilo jina, nashindwa kumuelewa kabisa mtu huyo.
Watu tunachit chat hapa lakini nashangaa mtu mzima anatoa maneno ya vitisho...

Ha ha ha! nashukuru kwa kumwelekeza.. tatizo dady! mi na huyu daughter wako Passion Lady tunawazana sana, hadi namwota! ajabu sijawahi kumwota Chocs wala Kipipi...
Hawa wanaotwa sana na huyu Ndugu Erickb52..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…