​aku mi staki uniote bana!!Ha ha ha! nashukuru kwa kumwelekeza.. tatizo dady! mi na huyu daughter wako Passion Lady tunawazana sana, hadi namwota! ajabu sijawahi kumwota Chocs wala Kipipi...
Hawa wanaotwa sana na huyu Ndugu Erickb52..
dady sungura toto anakutisha?Daughter sio huyu best yangu kiwatengu, kuna mtu anajiita sijui Sungura mtoto sina uhakika na hilo jina, nashindwa kumuelewa kabisa mtu huyo.
Watu tunachit chat hapa lakini nashangaa mtu mzima anatoa maneno ya vitisho...
Shukuru sasa kwa vile unamuota Passion Lady ili nawe unukie kipassion passion!
dady sungura toto anakutisha?
anaweza kua mkweo wa chobingo!!
Mambo ya chobingo na yabakie huko huko chobingo...hapa kuna terms na privacy...
Next time akileta mikwara yake nitamkata masikio awe na kichwa kama cha bata au kuku...
tatizo kiwatenguSure..hongera sana kwa kuwa na daughter mwelewa..
hahaaa!dady punguza hasira!!
hatorudia tena!
Hahahah...
Hivi mkwe Rutta yupo wapi sijamtia machoni kitambo
ndio hiyo nishakupa sema jingine.
unawashwa balozi wa nyumba kumi?!Hbari yako ? manoah hajambo?
Unalooooooooooo!
Usitie shaka...tuma CV yako kama vile mwanzo tukapalilie kahawa maeno ya Kimandolu hapo