Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
Heri nyingi kwako ndugu yangu kwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom