Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
Wanaume hautakiwi hata kukumbuka siku yako ya kuzaliwa.
 
Wanaume hautakiwi hata kukumbuka siku yako ya kuzaliwa.
Mm sina mambo mengi kiasi hicho ya kunifanya nisikumbuka.
Kukumbuka siku ya kuzaliwa kunakufanya ufanye REVIEW ya maisha yako yaani ni kipi ulichofanya cha maana hadi watu wakukumbuke kwa maisha yako?
 
Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
hongera kwa siku yako ya mazazi
 
Nshafanya yote nikamaliza, hapa sijaja kuomba mchango sheikh. Wewe kama uko na purukushani za maisha ni wewe, kwangu kuna muda wa purukushani kutafuta hela na muda wa kutumia hela.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heri ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa, uishi sana mkuu!!
 
Back
Top Bottom