Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeh! Tushakuwa mbwa tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hata bia moja tu wameshindwa kununua hawa mbwa ila ikifika siku yao uone wanavyotuganda tuwatoe out
😳 Makubwa!Hata bia moja tu wameshindwa kununua hawa mbwa ila ikifika siku yao uone wanavyotuganda tuwatoe out
🤣Nimeshtuka pia aiseeWeeeh! Tushakuwa mbwa tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Sasa nyie watoto wetu mtakuwa nini?
Achana na siku ya wanaume. Tulikubaliana kuwa hakuna siku ya wanaume. BTW tarehe zinakaribia.Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.
Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.
Ila ikifika March 8, utashangazwa.
No,atalipa Evelyn Salt
Sie mafisi😶🌫️Weeeh! Tushakuwa mbwa tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Sasa nyie watoto wetu mtakuwa nini?
Ulikuwepo kuokoa au wamekuwakilisha??Wanaume hatunaga mambo hayo ya siku, unaona kariakoo vijana wanapmbana kimya kimya ila kazi ingekuwa inafanywa na wadàda habari zingeenea
wanaume tumefanya kazi kubwa sana pale kariakoo siku tatu wengine hatujaonja kitanda lakini hamlioni hiloOnho🤦
Kumbe mna sikukuu yenu na nyie!?
Aisee, sorry mambo mengi mno...
Kariakoo nako kumetuvuruga vichwa balaa😔
Anywe Bia isiyozidi elfu mbili😅