Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.

Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.

Ila ikifika March 8, utashangazwa.
Jamani poleni
 
Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.

Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.

Ila ikifika March 8, utashangazwa.
Jipende wewe kwanza. Jiposti mwenyewe
 
Ila hii ni muhimu sana kwasasa iyo basi tu imechukuliwa poa, vijana wa kiume wengi wameshasahau wao ni wanaume. Hawajui mwanaume anatakiwa kuwa vipi ili aitwe mwanaume wako legelege. Media ndio zinatumiaga propaganda nyingi kuitukuza ile siku nyingine ziwe zinaitendea haki na siku hii.
Angalau zituonyeshe kazi za kiume na jinsi wanavyokaza kwenye maisha kufikia malengo.Tuendako wanaume wengi wanakwenda kuwa between he na she akilegeza kidogo kwaheri.
 
Pia ni siku ya mazingira duniani..siku ya mtumizi sahihi ya vyoo.. kwa nini waliunganisha na siku ya wanaume....
 
Back
Top Bottom