Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.

Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.

Ila ikifika March 8, utashangazwa.
Taifa lipo kwenye Msiba mzito...
Zawadi za Siku yenu hii zimeelekezwa kwa Wanaume waliopo Kariakoo wanaofanya kazi ya kuokoa wenzetu waliofukiwa na kifusi...

Ahsante.
 
Back
Top Bottom