Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Tungo za zaman zilikua vema sana

Tumemchangia sana mamu kwenye copy alizokua anafyatua kama

Albam----------------------artist
Machoz jasho na dam @ prof jize

Wachuja nafaka @ kibla,solo na kr mula

Kamanda @ dazinunda

Starehe @ feruz

Ugali @ nature

Joseph @ prof jze

Mawazo@ jima mcopanga

Pamba nyepes@ babu

Rap katuni @ gangwe mobb

Mkuki moyoni @ mkali was rymes mfame wa Moro

Darubini @ baba tunda

Aka Mimi @ gwea r I p

2plaud @ mei aka sugu huyu jamaa alikua na albam nyingi akifuatiwa na kapafona aka mapafu ya mbwa dudu baya ze dudu

Hakuna kulala @ kilba
Kibla kama sikosei alikaua na abam yake ya kwanza nn chanzo

Zipo nyong sana ambazo zimepota kwenye mkono wa mamu na kipnd icho nilikua mzalendo kwel nilikua napata original copy

Pia nilikua na mix tape ya single Kali zilizokua zikitoka kama


* Hazifunikiki *
hawa jamaa kashayao pale mbele palikua na dem kavaa jinz anaonesha nepi take flan ivi na kitovu Hatar sana

* kwa Fujo dj'z*

Kashayao nilikua INA turntable juu

* zote Kali*


Album nilikua inanogeshwa na intro

Kama machozi jasho na dam nilikua na intro kafanya mc babu ayubu

Kuna intro poa ndan ya machoz jasho na dam alifanya fid q kama freestyle enz izo anarudishwa inje na kusugua bench prof ludigo pale mj

Album ya joseph intro alifanya juma mchopanga akitaja aka 12 za profjoze

Mawazo ya jay mo alifanyaga best intro ya muda wrote ya ngoma ya majukumu


Wachuja na faka kulikua na intro nying sana za nature na henge lake za kumpromote majan enz izo yule mzungu katoka Manton na mixerzake kamkuta master jay na mika hawakamatiki

Moja ya intro wanaamka asubui wanaenda kumpitia krmula wanamkuta kachelewa kuamka wakay inabidi wakarekodi jamaa alilala na masanga Jana ake

Gwm babu na ndugu ake walikua na intro ya mama moja anamtaman inspecta haruna mzee wa pamba ola ilionesha jamaa alipga mzogo coz yule mama alimwamboa kama ataki atapga kelele anambaka.........

Special kwa wahenga wote walionoelewa kama ujanielewa jitathimin umekuja lini duniani
 
Nilikuwa naipenda ile "nampenda,na sifa nakupa mpenzi wangu,sitawapenda wote wasiopenda maendeleo yangu,mpenzi wangu. Nampenda mpenda nani,msichana mmoja nani,mweupe kidogo nani..nampenda,nampenda."
.....mweupe kidogo naniii nampendaa nampendaa

aiseee [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi beat yeyote ya Vijana Jazz Sagha Rhumba na haswa sauti za Toto Tundu, Gotogota, Mgonahazeru, na Jerry Nashon Dudumizi, bila kusahau lile solo la Marehemu Shaaban Wanted.
 
Kuna na kitu cha 2pac - changes na gangstar paradise - coolio
Msafiri- kwanza Unit, japo production ilikuwa mbovu digital bado lakini napenda sana beat yake achilia mbali michano
 
Gheto langu ya Ngwea hata leo nikiisikia mahali nywele zinasisimka...

Hii nyingine tena...Ni Bingo record tena...P funky..

Alafu kuna dude la Kimyakimya la Mo technique na KaObama ni hatari...
 
Hapa umemaliza mazee
 
Kama dude la mike T ft Jay mo, aisee, kama mike T ningekua star, kama ningekuwa na mkwanja kachaa iringa town ingekuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…