Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa umenisemea na ile ya eno mic ya Ziggy DMimi Ruff ryders- what ya want
Tamala - hardmad
She got gwan
So into - fabulous
Nilikuwa naipenda ile "nampenda,na sifa nakupa mpenzi wangu,sitawapenda wote wasiopenda maendeleo yangu,mpenzi wangu. Nampenda mpenda nani,msichana mmoja nani,mweupe kidogo nani..nampenda,nampenda."
Huo huo basi mi nimechanganya na wimbo ule wa kitoto wa nampenda mpenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa kuna mistari imenichanganya, nilitaka kudhani ni ile wa Mike T aka mzee was Nyaluland.
Huo huo basi mi nimechanganya na wimbo ule wa kitoto wa nampenda mpenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeeeeees
Victoria elleson emeneya ya mukolo (king kester emeneya )hicho kilikuwa kama kichombezo flan hivi yeyeyeyeh tombola tombola makoko likoloe yamukolo tombolae makoko likoloeKuna wimbo wa kikongo miaka ya 90 nadhan unaimba "kidekulee ei maama kidekulee" yaan nautafuta na sifaham aliyeimba nani