Kuna yeyote amekulazimisha usome? Huna mke weye?Habari za Mke wako zinatuhusu nini hapa Jukwaani. Yaani habari za mke wako na wewe chumbani ndio unatuletea sisi tujadili hapa . Kama huna vya kujadili si bora ukae kimya tu kuliko kuandika utafikiri unawashwa washwa .
SafiHuko tusiende!, Tuwe na heshima kidogo, mtu akiishamtambulisha mtu ni wife, then maeneo mengine weka heshima!.
P
Hili siyo jukwaa la watoto . Ni vyema apeleke utoto huo kwa watoto wenzakeKuna yeyote amekulazimisha usome? Huna mke weye?
You must Mind Your Own Business
Mtoto anaweza kuoa Mke?Hili siyo jukwaa la watoto . Ni vyema apeleke utoto huo kwa watoto wenzake
wewe yule wa kwako si alikupiga chini baada ya kupata ajali ya ile bodaboda uliyokuwa ukiendesha kutokea dodoma kuja dar?Hongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
Huyo Mrusi ana maduka pale hosteli anaesabu mpaka pipi,hii comment imenikumbusha shuleniUmemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.
Huyu anako elekea ni kuuza pambano tu.Mmmh! Usije ukauza mechi akunyang'anye simu
Umewaza km mie, nilivyoona PM yuko na Putin, nikawa najisemea Brits awe makini huko Moscow.She is an FSB agent
Kaaa Rada juzi Pm alikuwa kwao uko wana weza kua tayari na taarifa zako.
Duh, wewe tana! Kwa kweli JF sasa ni kokoro...ziko nyakati hata huo mlango wa kuingilia usingeuona achilia mbali kuukaribia.Habari za Mke wako zinatuhusu nini hapa Jukwaani. Yaani habari za mke wako na wewe chumbani ndio unatuletea sisi tujadili hapa . Kama huna vya kujadili si bora ukae kimya tu kuliko kuandika utafikiri unawashwa washwa .
Please lets keep the private life private!.wewe yule wa kwako si alikupiga chini baada ya kupata ajali ya ile bodaboda uliyokuwa ukiendesha kutokea dodoma kuja dar?
Brit ni ni kutoka bukoba, Sasa huo ushauri sijui kama utapokelewaUmewaza km mie, nilivyoona PM yuko na Putin, nikawa najisemea Brits awe makini huko Moscow.
Sio huko walaunaongelea maeneo ya kwa mrefu au shangarai ndani ndani kdogo au?
SurePlease let keep the private life private!.
P
Kuna Single maza mtulivu huku anatafuta mzee wa kumaliza nae maisha.Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.
Kabla ya kuingia naye mkataba akubali kunionesha kaburi la mzazi mwenzake. Kinyume na hapo nitakuwa nimenunua kiwanja chenye mgogoro.Kuna Single maza mtulivu huku anatafuta mzee wa kumaliza nae maisha.