Leo Niko na mke outing anasema siasa za Tanzania niziache ngumu

Kikubwa usi-blow cover! Ila kwa umakini ulionao tangu awamu ya jembe kutoka chato! Sidhani kama utafanya cover breach ya kizembe.
rahisi sana kublow cover hapa,kwanza tunapata risiti ya wabongo wenye wake wazungu,then tunatafuta wenye hao wake tipwatipwa πŸ˜‚πŸ˜‚,then tunarudi kwa britanika,first post yake twitter au jf,let say ni 2008,automatically tunajua huyu ni above 50,,then tunacheki record ya wabongo walioko majuu wenye utu uzima na wenye wake tipwa tipwa,then............πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii nimeiwaza sana kabla hata sijaweka huyu mke ninaye mu mwaka wa 8 sasa 😁
 
kawachezea boya.

haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…