Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Atakuwa anajiamini Ana convincing power...Sio Domo zege Kama Behaviourist

Siyo swala la domo zege '' bali ni swala la huyo demu kumuona kama ni mtu sahihi kwake, siyo rahisi kihivyo labda kama ana kitu ambacho hao mademu wanatafuta kwa mwanaume, na yeye atokee kuwa huyo mwanaume wanayetafuta, vinginevyo ajitayarishe kupigwa kalenda na kusumbuliwa sana bila ya mafanikio...
 
Pitia na Arusha mkuu afu simama pale maeneo ya AICC hutatamani kusikia ndoa kabisa😆😆😆
 
Basi tuseme kurogwa kupo...inawezekana karogwa TU abadili gia hewani ...masikini bidada kapata Aibu huko..wazazi wameshika Tama TU saiv

Maana Kama unaendea Jambo la kheri nafsi inakataa na kukulazimisha Jambo lisilo na kheri ....Duuh

Au tuseme Mungu kamuepusha na huyo Mke alietaka kumuoa, labda hakukua na kheri ndani yake..

Yote yanawezekana
 
Mbona unauchungu sana mkuu[emoji38][emoji38] na mbona unachoandika hakihusiani na mada kwan jamaa kaenda club au ananunua malaya!! Acha kuchulia maisha serious kias hicho[emoji38][emoji38][emoji38]

Mkuu, nilichomaanisha ni kwamba katika maisha kuna muda unaweza kuacha pema ukaenda kubaya ndio ile wahenga wameita “mkataa pema pabaya panamuita”
Huo hapo juu ni mfano tu ambao umewahi kutokea kwenye maisha ya jamaa yangu, ni kama mleta mada alikuwa anaelekea pema kwenye ndoa lakini ametamani vitoto vya chuo mwishowe anaweza kujikuta imemcost,
 
Tatizo dada zetu co waelewa kabisa sasa apo kosa la jamaa ni lipi @kughaili kupeleka barua @kusifia pic kari mi anachojua kamaela anatafuta mwenyewe tumwache zikiisha ataandika thread nyingine PIC KALI ZILIVYO NIPONZA nacc tunampa pole kwasaiv acha tumsifie sie watu wa MASHARIKI YA MBALI akili zetu zimelalia MASHARIKI kwaiyo hutakiwi kusononeka kwa mambo kama haya we sifia tu🏃🏃🏃
 
ulizia wenyeji wakupe habari ya hao watoto wa ushirika!!
Hao watoto wa ushirika nimekulaga tokea 2014 mpaka leo. Nadhani wanafika 200+ niliowahi wala hapo chuoni
 
Nishasikia wafia Dini...Sasa nimeona Mfia papuchi[emoji23][emoji23][emoji23]...

Wazuri hawatakuja kuisha..ng'oooo
 
Hao watoto wa ushirika nimekulaga tokea 2014 mpaka leo. Nadhani wanafika 200+ niliowahi wala hapo chuoni
Hongera mkuuu... nadhani ukifikisha 1000 Kuna kombe lako na Kitita Cha kutosha..usichoke kazana
 
Nishasikia wafia Dini...Sasa nimeona Mfia papuchi[emoji23][emoji23][emoji23]...

Wazuri hawatakuja kuisha..ng'oooo
😂😂😂Wasipoisha ndio safi coz kale karoho kanachosemaga UPENDO KWA WOTE kitaendelea kuniamasisha.
 
Tumbo, sehemu za siri, macho na masikio hayaridhiki wala kuchoka njia ni kuyadanganya tu ili yaridhike...
 
Mi nimesoma Moshi sana, wadada wa kichaga ni wazuri ila wanadanganyika kijinga sana, ni mboga hawana uaminifu. Moshi ndio nilishangaa mtu wa kawaida na mvuta bangi anakula demu mkali kuliko Wema Sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…