Leo nimeaibika sana, roho inauma

Leo nimeaibika sana, roho inauma

Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa dar es salaam...Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu,sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi geto,lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume...Nahii sio mara ya kwanza ishawah nitokea kama mara ya pili,pia nishawah kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.Nisaidieni wana jamii naaibika mimi
Tatizo lako ni woga na wala sio kwamba haiwezi kusimama. Jitahidi kutofikira kushindwa , kilazimishe kuweza na utaweza tu.
 
NILIWAHI KUWA MZEE WA DAKIKA MBILI, SITAMANI TENA KURUDI KATIKA HALI HII

Mwaka 2010, wakati huo nilikuwa form one , niliingia rasmi katika mchezo wa Kujichua (masturbation), kadri ya muda ulivyokwenda nilizidi kunogewa na huu mchezo kiasi kwamba ikafika nikawa siwezi kukaa hata siku tatu bila Kujichua.

Hali hii niliendelea nayo mpaka nikamaliza form six (advanced level), Baada ya kumaliza form six nikanunua smart phone ya kwanza ambapo niliongeza uchizi (addiction of masturbation) kwa kuwa si tu kujichua bali nilipenda sana kuangalia video za ngono (x-video) kupitia simu yangu.

Tabia hii niliendelea nayo mpaka nilivyofika chuoni , sikuwa nawaza kabisa suala la kuwa na mahusiano na Mwanamke yeyote bali pale ambapo nilikuwa nahisi hamu, nilikuwa nadownload video zangu za xx, naangalia kisha najichua.

Tatizo lilianza wakati nipo mwaka wa tatu, baada ya kuingia kwenye uhusiano na binti mmoja ,

Kiukweli nilimpenda na alinipenda lakini shida ilikuja pale ambapo alipotaka tukutane kimwili, nilikuwa naweka vikwazo vingi, UNAJUA KWA NINI??

Sababu kubwa nilikuwa nawaza , kwa muda wa miaka takribani 8 (Kuanzia form one hadi mwaka wa tatu chuo) nimekuwa nikipiga punyeto, je sitaaibika kweli???

Siku moja nikasema potelea pote, Kama mbwai na iwe mbwai, nikampanga mtoto, tukaenda lodge , tukaanza shughuli , aiseee kilichonikuta siwezi kusahau!!!!

Goli la kwanza nilitumia dakika moja na nusu tu, baada ya hapo mashine haikuweza tena kusimama usiku wote, kwa kweli niliaibika na nilijilaumu sana kwa uamuzi wangu wa kumkubalia yule binti kufanya naye mapenzi.

Sikuwa na jinsi ilibidi nimwambie mpenzi wangu kwamba mimi ni muathirika wa Kujichua ( masturbation addicted person), alishangazwa na hii habari kwake kwani muonekano wangu haukufanana na huu upumbavu niliokuwa naufanya, lakini nashukuru alinielewa na akanishauri nitafute suluhisho la tatizo langu (nguvu za kiume) na kweli nilijitahidi kadri ya uwezo wangu.

Kiufupi nimejaribu kutumia dawa nyingi kutoka kwa watu tofauti tofauti, nakiri zile dawa zilileta matokeo lakini shida ilikuwa moja, zilikuwa zinaleta matokeo ya muda tu (temporary effects) kiasi kwamba nisipotumia hizo dawa sikuweza kabisa kuperfom.

Nilipomaliza chuo (2019) nikarudi mtaani rasmi, Baada ya kurudi nyumbani nikakutana na mwalimu wangu wa O level ambapo tulipata fursa ya kuzungumzia masuala ya elimu na maisha kwa ujumla

Akanihabarisha kuwa yeye sasa maisha yake yamemnyookea sababu ameamua kujiongeza, amejiunga na kampuni iitwayo forever living products, ambapo alinielezea kiujumla kuhusu products zao na jinsi ya kujiunga,

Mazungumzo yalikuwa marefu lakini alinikosha zaidi aliponielezea juu ya package inayoweza kutibu moja kwa moja nguvu za kiume, nilifurahi sana na nilihisi kuwa nishapona kabisa
sababu niliamini kabisa hawezi kuniongopea kwani ni katika watu ninaowaheshimu sana.

Niliona isiwe case " mficha maradhi kifo humuumbua" nikamuelezea tatizo langu na akaniambia nitafute pesa Kisha nikachukue hizo supplements,

Kwa upande wa bei ilichangamka kidogo, lakini nikaona bora nijaribu, kwa kweli nashukuru baada ya kupata pesa nililipia zile supplements nusu nusu mpaka nikamaliza yote, kwa kweli nimekuwa new version of me, mpenzi wangu alikuwa akiinjoy na kushangaa mbona nimekuwa fire siku hizi tena bila kutumia booster, Kuanzia hapo niliinjoy sana maisha ya mahusiano na sasa nimeoa huku nikiwa na confidence ya kuwa kazi ninaiweza,,

Baada ya kupata ushuhuda binafsi, nikaamua kuingia kwenye kampuni moja kwa moja ili na mimi niwe sehemu ya msaada kwa watu Kama nilivyosaidiwa mimi.

Hivyo Kama ndugu yangu unapitia katika changamoto hizi karibu kwa ushauri zaidi juu ya jinsi ya kuondoa kabisa tatizo hili

0653646881

" USIOGOPE , TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATIBIKA"

"WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"

N:B Nimefupisha stori ili kutomchosha msomaji
Lipia tangazo mjingana wewe
 
Uliwahi kupiga "selfie" Sana!
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa dar es salaam...Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu,sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi geto,lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume...Nahii sio mara ya kwanza ishawah nitokea kama mara ya pili,pia nishawah kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.Nisaidieni wana jamii naaibika mimi
We muha rudi uhani kwanza

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Aliyeuliza ulivaa mpira nami namshangaa, mzee kichwa wazi inabidi aulize swali la nguvu ndipo umvalishe mpira. Bila hivyo mpira haupiti.
 
Hapanaa[emoji3582] napinga hoja
Walo NI chakula cha mitume na manabii.mimi Lila siku nakula wali na nipo vizuri.hayo ni matatizo yako tu usisingizie wali.
Shida haujajipanga
Baadhi ya mitume walikuwa hawana uwezo wa kuzalisha mtoto wa kiume kwasababu ya kula wali sana
 
Sio tatizo lako peke yako,hilo ni tatizo la wanaume wengi siku hizi, ndo maana kila kona unakutana na matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume!!!

Fanya mazoezi,kula vizuri, jiamini

Kama hutojali nenda hospital kachek sukari, nayo husababisha tatizo hilo!!!!
Ndio maana wanaume wanaelemewa na wanawake kumbe kwingine wanakosa?
 
Uume hausimami mpira ntavaaje?
Kama wewe(na yeyote Yuko serious) hii issue ishawahi mtokea mtu wa karibu sana namimi,tumeibiwa sana na matapeli wa insta na fb bila mafanikio!mwisho wa siku tulifanikiwa kupata dawa kutoka kwa Bibi wa kimasai ilikuwa kwenye Kijiji kinaitwa Kibong'oto kipo Sanya juu/Siha Kilimanjaro ndo ilimkomboa ile aibu.From there nilichukua namba ya yule bibi incase,hapa dsm alituma Mara mbili kwa wadau wangu Ila sahv sijamcheki kujua status yake.
 
Fanya sanaa mazoezi...
Anza kwa kukimbia km 4 endelea kuongeza kila wiki.

Wakati wa mwanzo unaweza ukawa unakimbia halafu unatembea haraka haraka.
Endelea hivyo huku ukiongeza muda wa kukimbia.

Usisahau kula sanaa matunda.
Usisahau kunywa maji mengi.
Usisahau kulala vizuri na masaa yasiopungua 6 - 8, ila siku uliyochoka zaidi upe mwili muda wa kupumzika zaidi.

#YNWA
jaman hapa kwenye kukimbia kilometer hizi tujue kwanza mwili wake na uzito wake mana unaweza kuta ni ile mili ya kina wiz khalifa au snop[emoji23]ukitwanga kilometer nyingi sana unamteketeza badala ya kusaidia[emoji23]
 
I like that .. men supporting men... Jerlamarel hawa ndio wanaume sasa. Sio sisi wanawake mara mwanamke mwenzetu anapokua na tatizo akaomba ushauri ndokwanzaaa tunamchamba mpaka anakoma! Safi sana
Hata sisi kuna muda tunazingua sana tuu, hata nyie kuna muda mnapeana positive support sana tuu.... Hivyo it depends.

All in all dogo atakaa sawa tuu.
 
Njoo Kyerwa Upate Chai Katoke Na Bonus Ya Maji Kwenye Godoro Lenye Nylon, Utasahau Yote Hayo
 
Sio tatizo lako peke yako,hilo ni tatizo la wanaume wengi siku hizi, ndo maana kila kona unakutana na matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume!!!

Fanya mazoezi,kula vizuri, jiamini

Kama hutojali nenda hospital kachek sukari, nayo husababisha tatizo hilo!!!!

Mazoezi ninafanya karibia kila siku hadi jasho litoke...kula vizuri pia nina kula tu vzr
 
NILIWAHI KUWA MZEE WA DAKIKA MBILI, SITAMANI TENA KURUDI KATIKA HALI HII

Mwaka 2010, wakati huo nilikuwa form one , niliingia rasmi katika mchezo wa Kujichua (masturbation), kadri ya muda ulivyokwenda nilizidi kunogewa na huu mchezo kiasi kwamba ikafika nikawa siwezi kukaa hata siku tatu bila Kujichua.

Hali hii niliendelea nayo mpaka nikamaliza form six (advanced level), Baada ya kumaliza form six nikanunua smart phone ya kwanza ambapo niliongeza uchizi (addiction of masturbation) kwa kuwa si tu kujichua bali nilipenda sana kuangalia video za ngono (x-video) kupitia simu yangu.

Tabia hii niliendelea nayo mpaka nilivyofika chuoni , sikuwa nawaza kabisa suala la kuwa na mahusiano na Mwanamke yeyote bali pale ambapo nilikuwa nahisi hamu, nilikuwa nadownload video zangu za xx, naangalia kisha najichua.

Tatizo lilianza wakati nipo mwaka wa tatu, baada ya kuingia kwenye uhusiano na binti mmoja ,

Kiukweli nilimpenda na alinipenda lakini shida ilikuja pale ambapo alipotaka tukutane kimwili, nilikuwa naweka vikwazo vingi, UNAJUA KWA NINI??

Sababu kubwa nilikuwa nawaza , kwa muda wa miaka takribani 8 (Kuanzia form one hadi mwaka wa tatu chuo) nimekuwa nikipiga punyeto, je sitaaibika kweli???

Siku moja nikasema potelea pote, Kama mbwai na iwe mbwai, nikampanga mtoto, tukaenda lodge , tukaanza shughuli , aiseee kilichonikuta siwezi kusahau!!!!

Goli la kwanza nilitumia dakika moja na nusu tu, baada ya hapo mashine haikuweza tena kusimama usiku wote, kwa kweli niliaibika na nilijilaumu sana kwa uamuzi wangu wa kumkubalia yule binti kufanya naye mapenzi.

Sikuwa na jinsi ilibidi nimwambie mpenzi wangu kwamba mimi ni muathirika wa Kujichua ( masturbation addicted person), alishangazwa na hii habari kwake kwani muonekano wangu haukufanana na huu upumbavu niliokuwa naufanya, lakini nashukuru alinielewa na akanishauri nitafute suluhisho la tatizo langu (nguvu za kiume) na kweli nilijitahidi kadri ya uwezo wangu.

Kiufupi nimejaribu kutumia dawa nyingi kutoka kwa watu tofauti tofauti, nakiri zile dawa zilileta matokeo lakini shida ilikuwa moja, zilikuwa zinaleta matokeo ya muda tu (temporary effects) kiasi kwamba nisipotumia hizo dawa sikuweza kabisa kuperfom.

Nilipomaliza chuo (2019) nikarudi mtaani rasmi, Baada ya kurudi nyumbani nikakutana na mwalimu wangu wa O level ambapo tulipata fursa ya kuzungumzia masuala ya elimu na maisha kwa ujumla

Akanihabarisha kuwa yeye sasa maisha yake yamemnyookea sababu ameamua kujiongeza, amejiunga na kampuni iitwayo forever living products, ambapo alinielezea kiujumla kuhusu products zao na jinsi ya kujiunga,

Mazungumzo yalikuwa marefu lakini alinikosha zaidi aliponielezea juu ya package inayoweza kutibu moja kwa moja nguvu za kiume, nilifurahi sana na nilihisi kuwa nishapona kabisa
sababu niliamini kabisa hawezi kuniongopea kwani ni katika watu ninaowaheshimu sana.

Niliona isiwe case " mficha maradhi kifo humuumbua" nikamuelezea tatizo langu na akaniambia nitafute pesa Kisha nikachukue hizo supplements,

Kwa upande wa bei ilichangamka kidogo, lakini nikaona bora nijaribu, kwa kweli nashukuru baada ya kupata pesa nililipia zile supplements nusu nusu mpaka nikamaliza yote, kwa kweli nimekuwa new version of me, mpenzi wangu alikuwa akiinjoy na kushangaa mbona nimekuwa fire siku hizi tena bila kutumia booster, Kuanzia hapo niliinjoy sana maisha ya mahusiano na sasa nimeoa huku nikiwa na confidence ya kuwa kazi ninaiweza,,

Baada ya kupata ushuhuda binafsi, nikaamua kuingia kwenye kampuni moja kwa moja ili na mimi niwe sehemu ya msaada kwa watu Kama nilivyosaidiwa mimi.

Hivyo Kama ndugu yangu unapitia katika changamoto hizi karibu kwa ushauri zaidi juu ya jinsi ya kuondoa kabisa tatizo hili

0653646881

" USIOGOPE , TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATIBIKA"

"WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"

N:B Nimefupisha stori ili kutomchosha msomaji
Akili inaniambiaa hii tangazo
 
Swali dogo hapa...

Je, ukiwa peke yako uume huwa unasimama?
Je, ukiwa unawaza mambo ya ngono au kutazama picha ya mwanamke mrembo, uume huwa unasimama?

Yaan karibia kila asubuh lazima usimame,hata hapa nimeamka sasa hivi mashine imesimama...kuna sometimes asubuh inaweza simama hadi inauma
 
Perhaps this is the! Best answer that he can get here. Am curious to know was the girl ready for the game? Ama was thinking of it ndani ya suruali afu akapona mnara haunasi akaaamua awe mpole kujipushia fedheha?

Lkn je hana skills nyingine zaidi? Like hajui hata matumizi ya nyenzo mbadala ambayo yangempagawisha mdada adi amsaidie kutafuta netwk?

Lastly dogo mwanamke anachotafuta ni kukojozwa. So hata kidole ukikitumia vzr kinatosha kbs kukuepushia fedheha.

Tena you do it bila presha huku huna presha ya kutumia uume wako. Akiwa anakolea anataka upande unamwambia relax wala usiwe na presha. Akikojoa vzr unamwambia basi mama leo ilikuwa ni siku yako tuu. Ipo siku nitakuja kwaajili yangu na wewe tena.
Unamalizia na mabusu moto moto.

Hizi ni skills ndogo ndogo za kukufanya upuke fedheha ndogo ndogo
Hao labda ni wanawake wa huko mambele siyo wa kibongo
 
Fanya aina ya mazoezi yanaitwa kejel exercise unaweza search YouTube kuona yanafanyikaje haya husaidia kukuza uwezo wa ume kusimama tena kwa muda mrefu.

Kwa namna yeyote ile usitazame pornography/avoid pornography.

Achana na matumizi ya sukari na vitu vyote vyenye sukari sukari.

Pata usingizi wakutosha angalau masaa 8.

Cha mwisho kabisa jarbu kumfollow Dr mmoja twitter handle yake inaitwa @amerix atakusaidia sana kua mwanaume rijali kweli kweli.

Huyu dokta ni dokta wa matatizo yapi? Je, amejiunga Instagram?
 
Back
Top Bottom