NILIWAHI KUWA MZEE WA DAKIKA MBILI, SITAMANI TENA KURUDI KATIKA HALI HII
Mwaka 2010, wakati huo nilikuwa form one , niliingia rasmi katika mchezo wa Kujichua (masturbation), kadri ya muda ulivyokwenda nilizidi kunogewa na huu mchezo kiasi kwamba ikafika nikawa siwezi kukaa hata siku tatu bila Kujichua.
Hali hii niliendelea nayo mpaka nikamaliza form six (advanced level), Baada ya kumaliza form six nikanunua smart phone ya kwanza ambapo niliongeza uchizi (addiction of masturbation) kwa kuwa si tu kujichua bali nilipenda sana kuangalia video za ngono (x-video) kupitia simu yangu.
Tabia hii niliendelea nayo mpaka nilivyofika chuoni , sikuwa nawaza kabisa suala la kuwa na mahusiano na Mwanamke yeyote bali pale ambapo nilikuwa nahisi hamu, nilikuwa nadownload video zangu za xx, naangalia kisha najichua.
Tatizo lilianza wakati nipo mwaka wa tatu, baada ya kuingia kwenye uhusiano na binti mmoja ,
Kiukweli nilimpenda na alinipenda lakini shida ilikuja pale ambapo alipotaka tukutane kimwili, nilikuwa naweka vikwazo vingi, UNAJUA KWA NINI??
Sababu kubwa nilikuwa nawaza , kwa muda wa miaka takribani 8 (Kuanzia form one hadi mwaka wa tatu chuo) nimekuwa nikipiga punyeto, je sitaaibika kweli???
Siku moja nikasema potelea pote, Kama mbwai na iwe mbwai, nikampanga mtoto, tukaenda lodge , tukaanza shughuli , aiseee kilichonikuta siwezi kusahau!!!!
Goli la kwanza nilitumia dakika moja na nusu tu, baada ya hapo mashine haikuweza tena kusimama usiku wote, kwa kweli niliaibika na nilijilaumu sana kwa uamuzi wangu wa kumkubalia yule binti kufanya naye mapenzi.
Sikuwa na jinsi ilibidi nimwambie mpenzi wangu kwamba mimi ni muathirika wa Kujichua ( masturbation addicted person), alishangazwa na hii habari kwake kwani muonekano wangu haukufanana na huu upumbavu niliokuwa naufanya, lakini nashukuru alinielewa na akanishauri nitafute suluhisho la tatizo langu (nguvu za kiume) na kweli nilijitahidi kadri ya uwezo wangu.
Kiufupi nimejaribu kutumia dawa nyingi kutoka kwa watu tofauti tofauti, nakiri zile dawa zilileta matokeo lakini shida ilikuwa moja, zilikuwa zinaleta matokeo ya muda tu (temporary effects) kiasi kwamba nisipotumia hizo dawa sikuweza kabisa kuperfom.
Nilipomaliza chuo (2019) nikarudi mtaani rasmi, Baada ya kurudi nyumbani nikakutana na mwalimu wangu wa O level ambapo tulipata fursa ya kuzungumzia masuala ya elimu na maisha kwa ujumla
Akanihabarisha kuwa yeye sasa maisha yake yamemnyookea sababu ameamua kujiongeza, amejiunga na kampuni iitwayo forever living products, ambapo alinielezea kiujumla kuhusu products zao na jinsi ya kujiunga,
Mazungumzo yalikuwa marefu lakini alinikosha zaidi aliponielezea juu ya package inayoweza kutibu moja kwa moja nguvu za kiume, nilifurahi sana na nilihisi kuwa nishapona kabisa
sababu niliamini kabisa hawezi kuniongopea kwani ni katika watu ninaowaheshimu sana.
Niliona isiwe case " mficha maradhi kifo humuumbua" nikamuelezea tatizo langu na akaniambia nitafute pesa Kisha nikachukue hizo supplements,
Kwa upande wa bei ilichangamka kidogo, lakini nikaona bora nijaribu, kwa kweli nashukuru baada ya kupata pesa nililipia zile supplements nusu nusu mpaka nikamaliza yote, kwa kweli nimekuwa new version of me, mpenzi wangu alikuwa akiinjoy na kushangaa mbona nimekuwa fire siku hizi tena bila kutumia booster, Kuanzia hapo niliinjoy sana maisha ya mahusiano na sasa nimeoa huku nikiwa na confidence ya kuwa kazi ninaiweza,,
Baada ya kupata ushuhuda binafsi, nikaamua kuingia kwenye kampuni moja kwa moja ili na mimi niwe sehemu ya msaada kwa watu Kama nilivyosaidiwa mimi.
Hivyo Kama ndugu yangu unapitia katika changamoto hizi karibu kwa ushauri zaidi juu ya jinsi ya kuondoa kabisa tatizo hili
0653646881
" USIOGOPE , TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATIBIKA"
"WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
N:B Nimefupisha stori ili kutomchosha msomaji