Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

sisi watu weusi wote ni 'ndugu' in the sense that wote tumetoka kaskazini na toma huko tukatawanyika kwenda huku na kule
 
Makabila yote hayo ni ya wakush ,hata watutsi pia ni wakush
watu wengi Afrika Mashariki ni ya Wakushi, kuanzia watusi,wachaga, wairaq/wambulu, wamasai, wasambaa, warangi n.k.

hata ivyo, kati ya makabila yote ya wakush, wale wenye vinasaba vya ethiopia zaidi watusi wanaweza kuwa wa mwisho. the closest utakuta ni wambulu na watu wote wa babati huko, hao wanafanana na waethiopia kila kitu kuanzia tamaduni na hadi sura. watusi kutokana na kimo na weusi wao, inasemekana ni kabila fulani along mto Nile maeneo ya katikati ya sudan and ethiopia.
 
Warusi + wanyankole+ wachina+ Masai ni jamii moja, walioingia Kenya na Kaskazini mwa Tanzania wakijiita Masai , walioingia Uganda wanyankole, walioingia Rwandan na Burundi, Kigoma waliitwa watusi, walioingia DRC waliitwa Banyamlenge. Baadhi ya watusi wana nywele za kisomali, Ethiopia na wasomali ni jamii moja.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.

Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo
kwa rejea yako

Usiku mwema

View attachment 2997061View attachment 2997068View attachment 2997069View attachment 2997070View attachment 2997074View attachment 2997075
Wanyarwanda na Waethiopia ni ndugu.
Wote ni cushites,japo sijafahamu Wanyarwanda ni kabila gani kati ya makabila makuu Oromo,Tigrinyan,Amhara.
Na asili ya abyysinia mbona imesambaa sana hapa Afrika mashariki na kati!?
Hapa Tanzania Wambulu,Wanyaturu,wamang'ati na wanyisanzu wote zao la ETHIOPIA.
 
Tutsi ni warefu kuliko Wasomali na Waethiopia.

Wanawake wengi wa kiethiopia hawana umbo namba nane kama Watutsi
Unajidanganya mkuu.
Kuna waTigrinyan NI WAREFU HAKUNA MTUTSI anawaingia ndani.
Pia wana matyaakooooo so poa.
Au nikuletee picha mkuu.
 
Usicho kielewa ni kwamba, watusi na waethiopia ni watu wawili tofauti kabisa.
1. watusi ni warefu na weusi, ethiopians wafupi na weupe
2. hakuna mtusi mwenye nywele za maburushi, waethiopia nywele wengine kama waarabu
3. watusi wametokea along that Nile rive, eneo la Sudan kuelekea Misri, waethiopia wametokea pale walipo.
4. weusi mzuri wa watusi huwezi kuukuta ethiopia.
kwaiyo watusi hawajatokea ethiopia, ila walisambaa walitokea maeneo ya Axum, along Nile river kwenye mipaka ya ethiopia na sudan kuelekea egypt.
Wa Ethiopia weusi tiii wapo,jamii yao wanaitwa SOMALI.
Jamii ya Ethiopia weupe ni AMHARA peke yake,wengine weusi wote.
Pale pale Ethiopia kuna bantu-cushitic tribes ambazo jamii ya hao hao Ethiopia.
Hata wale wamisri wa zamani wanaojulikana sana kama Nubi ni jamii ya Abyssinia/Habesha.
Kwa Afrika Ethiopia imesambaza sana jamii yake.
 
Kuna mmoja anacheka jino pembe moyoni anawaza afanye vipi ili akaibe kwa mwenzake.
 
watu wengi Afrika Mashariki ni ya Wakushi, kuanzia watusi,wachaga, wairaq/wambulu, wamasai, wasambaa, warangi n.k.

hata ivyo, kati ya makabila yote ya wakush, wale wenye vinasaba vya ethiopia zaidi watusi wanaweza kuwa wa mwisho. the closest utakuta ni wambulu na watu wote wa babati huko, hao wanafanana na waethiopia kila kitu kuanzia tamaduni na hadi sura. watusi kutokana na kimo na weusi wao, inasemekana ni kabila fulani along mto Nile maeneo ya katikati ya sudan and ethiopia.
Wachaga, Warangi na Wasambaa ni Wabantu kama Wagogo na Wasukuma. Wamasai ni Nilo Hamit (Hemites). Wairaqw ndo Cushites. Watutsi bi la shaka ni Nilo hamites kama ilivyo kwa Wamaasai na Wabarbaig kwa Tanzania.
 
watu wengi Afrika Mashariki ni ya Wakushi, kuanzia watusi,wachaga, wairaq/wambulu, wamasai, wasambaa, warangi n.k.

hata ivyo, kati ya makabila yote ya wakush, wale wenye vinasaba vya ethiopia zaidi watusi wanaweza kuwa wa mwisho. the closest utakuta ni wambulu na watu wote wa babati huko, hao wanafanana na waethiopia kila kitu kuanzia tamaduni na hadi sura. watusi kutokana na kimo na weusi wao, inasemekana ni kabila fulani along mto Nile maeneo ya katikati ya sudan and ethiopia.
Tanzania mkuu makabila asili ya wakush ni manne tu hayo mengine msitake kutudanganya.
-Wambulu/wairaqwu.
-Wamang'ati.
-Wanyaturu.
-Wanyisanzu.

Wamaasai ni NILOTES.
WACHAGA,WASAMBAA,WAPARE wote ni WABANTU PURE MKUU.
Sasa sijajua historia gani imekudanganya mrangi au mchaga mkushi!??
 
Back
Top Bottom