😂😂😂😂😂Ndio mimi nashangaa toka lini mrangi,msambaa na mchaga akawa ni mkushi!?Wachaga, Warangi na Wasambaa ni Wabantu kama Wagogo na Wasukuma. Wamasai ni Nilo Hamit (Hemites). Wairaqw ndo Cushites. Watutsi bi la shaka ni Nilo hamites kama ilivyo kwa Wamaasai na Wabarbaig kwa Tanzania.
Hii historia watu sijui wameitoa wapi kuwa makabila yote ya kaskazini wakushi!?