Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

Tanzania mkuu makabila asili ya wakush ni manne tu hayo mengine msitake kutudanganya.
-Wambulu/wairaqwu.
-Wamang'ati.
-Wanyaturu.
-Wanyisanzu.

Wamaasai ni NILOTES.
WACHAGA,WASAMBAA,WAPARE wote ni WABANTU PURE MKUU.
Sasa sijajua historia gani imekudanganya mrangi au mchaga mkushi!??
Naomba nikurekebishe.

Jamii ya wakushi waliopo tanzania
-Wairaqw (Mbulu, Karatu, Babati, Hanang...)
--Wafyomi/Wagorowa (Babati)
--Waburunge (Kondoa Mashariki na Kiteto)
--Wambugu (Lushoto/Bumbuli)
-Wanyaturu (Singida)

Wanyisanzu ni Wabantu na;
Wamang'ati ni NILOTES.
 
Aaaa wapi,Mwamba amemshauri mjanja mwenzie ajiunge EAC ili waje wawaibie wajingajinga kama sisi watu wa Kizimkazi.
Huyo mwingine hana ujanja wowote afadhali kimbaumbau japokuwa na yeye ujanja wake zaidi ni kuua wenzake tu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.

Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo
kwa rejea yako

Usiku mwema

View attachment 2997061View attachment 2997068View attachment 2997069View attachment 2997070View attachment 2997074View attachment 2997075
CC:
GENTAMYCINE , Jestkilla et-al
 
Naomba nikurekebishe.

Jamii ya wakushi waliopo tanzania
-Wairaqw (Mbulu, Karatu, Babati, Hanang...)
--Wafyomi/Wagorowa (Babati)
--Waburunge (Kondoa Mashariki na Kiteto)
--Wambugu (Lushoto/Bumbuli)
-Wanyaturu (Singida)

Wanyisanzu ni Wabantu na;
Wamang'ati ni NILOTES.
Anhaa sawa 🙏🙏.
 
Back
Top Bottom