900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
hao warangi waliingiliana na wairqw na waburungehao warangi wanaofanana kabisa na wasomali ni wa wapi? kuanzia wembamba hadi sura, na wengine hadi nywele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao warangi waliingiliana na wairqw na waburungehao warangi wanaofanana kabisa na wasomali ni wa wapi? kuanzia wembamba hadi sura, na wengine hadi nywele.
Bora kaka umenena.hao warangi waliingiliana na wairqw na waburunge
Wabantu wa humu humu katikati mwa Afrika kama ilivyo kwa Wambugwe wa ziwa Manyara. Lakini pili tukurekebishe; warangi siyo wembamba kuwazidi Wanyaturu.hao warangi wanaofanana kabisa na wasomali ni wa wapi? kuanzia wembamba hadi sura, na wengine hadi nywele.
Wairaqw na Waburunge ni jamii moja ya Wakushi. Wafyomi (wagorowa wa babati), Waburunge wa Kondoa Mashariki na Wambugu wa Bumbuli wote wametoka kwa Wairaqw (Wambulu). Wote ni jamii moja ya Wairaqw (Wakushi wa kusini-Southern Cushites).hao warangi waliingiliana na wairqw na waburunge
Well unaonekana hauko educated on subject na bado umeleta maada!Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo
kwa rejea yako
Usiku mwema
View attachment 2997061View attachment 2997068View attachment 2997069View attachment 2997070View attachment 2997074View attachment 2997075
Abiy Ahmed ni mlokole yuleAbiy Ahmed ni muislam kaka.
Ila Ethiopia lilikua taifa la kikristo kabla uislam haujaenezwa toka arabuni.
Nenda Central Ethiopia kuna makanisa yenye miaka mingi kushinda misikiti.
Huyo abiy ana hudhuria msikitini kwenuAbiy Ahmed ni muislam kaka.
Ila Ethiopia lilikua taifa la kikristo kabla uislam haujaenezwa toka arabuni.
Nenda Central Ethiopia kuna makanisa yenye miaka mingi kushinda misikiti.
Basi kabadilika ukubwani.Abiy Ahmed ni mlokole yule
Ungerekebisha nilipokosea ingetosha.Huyo abiy ana hudhuria msikitini kwenu
Ila wanyaturu wana maumbo mazuri na wanavutia kuliko warangi.Wabantu wa humu humu katikati mwa Afrika kama ilivyo kwa Wambugwe wa ziwa Manyara. Lakini pili tukurekebishe; warangi siyo wembamba kuwazidi Wanyaturu.
Mkuu hii Bendera imekuwaje maana nimekuja kuiona for the first time jana... kabla ya hapa sijawahi fahamu kama tuna benderaWairaqw na Waburunge ni jamii moja ya Wakushi. Wafyomi (wagorowa wa babati), Waburunge wa Kondoa Mashariki na Wambugu wa Bumbuli wote wametoka kwa Wairaqw (Wambulu). Wote ni jamii moja ya Wairaqw (Wakushi wa kusini-Southern Cushites).
Tumuulize INSIDER MAN kuhusu hiliTutsi ni warefu kuliko Wasomali na Waethiopia.
Wanawake wengi wa kiethiopia hawana umbo namba nane kama Watutsi
Mkuu hii Bendera imekuwaje maana nimekuja kuiona for the first time jana... kabla ya hapa sijawahi fahamu kama tuna bendera
sawa kabisa. Wanyaturu ni Wakushi kama ilivyo kwa Wairaqw na asili yao ni Ethiopia.Ila wanyaturu wana maumbo mazuri na wanavutia kuliko warangi.
Mie mkewangu mama mnyaturu baba muiraqwu.sawa kabisa. Wanyaturu ni Wakushi kama ilivyo kwa Wairaqw na asili yao ni Ethiopia.
Ila ninyi wairaqw hamkuwa wakorofi kama wanyaturu.Hiyo ni Bendera ya Utawala wa Wairaqw miaka hiyo kabla ya Mkoloni kuja na kabla ya Uhuru. Baada ya Tanganyika kupata uhuru Machifu wote wa tawala za Asili (Tawala za Makabila) kushusha bendera zao. Na sisi Wairaqw tukashusha yetu. Hiyo Bendera ukiiangalia vizuri inahusiana na Ethiopia. Bendera zote za Majimbo ya Ethiopia na hata ile ya Serikali kuu ya Shirikisho la Ethiopia ina Nyota ya Daudi kama hiyo ya Wairaqw.
sawa kabisa. Warangi wana ngozi ya Kibantu.Mie mkewangu mama mnyaturu baba muiraqwu.
Aisee wale watu wazuri bhana.
Wana ngozi laini na baby face, sio kama warangi wana sura za kukomaa mapema.
Upo sahihi kabisa. Historia inatuambia kwa asili Wairaqw siyo watu wa vita ndo maana wakimbia kutoka Ethiopia. Walikimbia vita vya kugombania malisho na ardhi na tauni. Lakini pia wairaqw na Wanyaturi tangu wakutane Tanganyika hawakuwahi kupigana. Wamekuwa wakichukuliana kama ndugu huku wakiwa na adui wa pamoja (Wamang'ati au Wabarbaiqw na wamasai).Ila ninyi wairaqw hamkuwa wakorofi kama wanyaturu.
Wanyaturu kihistoria walikua panga mkononi sasa hivi huwenda interaction imewafanya wapoe.
Mmang'ati nae kiasili ndugu yenu imekuaje mkashikiana mapanga tena!?Upo sahihi kabisa. Historia inatuambia kwa asili Wairaqw siyo watu wa vita ndo maana wakimbia kutoka Ethiopia. Walikimbia vita vya kugombania malisho na ardhi na tauni. Lakini pia wairaqw na Wanyaturi tangu wakutane Tanganyika hawakuwahi kupigana. Wamekuwa wakichukuliana kama ndugu huku wakiwa na adui wa pamoja (Wamang'ati au Wabarbaiqw na wamasai).
Wamang'ati na Wairaqw hawana undugu hata chembe. Wamang'ati (au Wadatooga-jina sahihi la kabila lao) ni Nilotes (Nilo Hamite ou Hemites) yaani wahamiaji kutoka kando kando ya mto Nile (Egypt na Sudan) wakati wairaqw ni Cushites (Wenyeji wa asili ya Nchi ya Kushi-Ethiopia, Eritrea na Jibuti ya leo). Wairaqw na Wamang'ati hata sasa hivi hawapendani, ni kwa vile tu wamejikuta uhuru umewakuta wanaishi majirani. Uhuru ungechelewa kidogo Wanang'ati wote wangeondolewa Manyara. Wangekuwa mbali na Mwiraqw.Mmang'ati nae kiasili ndugu yenu imekuaje mkashikiana mapanga tena!?
Ila nimesikia stori kwa mababu wa kinyamwezi kuhusu wanyaturu maana neno nyaturu ni la kinyamwezi ndilo waliwapachika wanyaturu.
Wanasema baadhi ya maeneo wanyaturu hapa Tanganyika waliyapata kwa kuvamia.