Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

sisi watu weusi wote ni 'ndugu' in the sense that wote tumetoka kaskazini na toma huko tukatawanyika kwenda huku na kule
 
Makabila yote hayo ni ya wakush ,hata watutsi pia ni wakush
watu wengi Afrika Mashariki ni ya Wakushi, kuanzia watusi,wachaga, wairaq/wambulu, wamasai, wasambaa, warangi n.k.

hata ivyo, kati ya makabila yote ya wakush, wale wenye vinasaba vya ethiopia zaidi watusi wanaweza kuwa wa mwisho. the closest utakuta ni wambulu na watu wote wa babati huko, hao wanafanana na waethiopia kila kitu kuanzia tamaduni na hadi sura. watusi kutokana na kimo na weusi wao, inasemekana ni kabila fulani along mto Nile maeneo ya katikati ya sudan and ethiopia.
 
Warusi + wanyankole+ wachina+ Masai ni jamii moja, walioingia Kenya na Kaskazini mwa Tanzania wakijiita Masai , walioingia Uganda wanyankole, walioingia Rwandan na Burundi, Kigoma waliitwa watusi, walioingia DRC waliitwa Banyamlenge. Baadhi ya watusi wana nywele za kisomali, Ethiopia na wasomali ni jamii moja.
 
Wanyarwanda na Waethiopia ni ndugu.
Wote ni cushites,japo sijafahamu Wanyarwanda ni kabila gani kati ya makabila makuu Oromo,Tigrinyan,Amhara.
Na asili ya abyysinia mbona imesambaa sana hapa Afrika mashariki na kati!?
Hapa Tanzania Wambulu,Wanyaturu,wamang'ati na wanyisanzu wote zao la ETHIOPIA.
 
Tutsi ni warefu kuliko Wasomali na Waethiopia.

Wanawake wengi wa kiethiopia hawana umbo namba nane kama Watutsi
Unajidanganya mkuu.
Kuna waTigrinyan NI WAREFU HAKUNA MTUTSI anawaingia ndani.
Pia wana matyaakooooo so poa.
Au nikuletee picha mkuu.
 
Wa Ethiopia weusi tiii wapo,jamii yao wanaitwa SOMALI.
Jamii ya Ethiopia weupe ni AMHARA peke yake,wengine weusi wote.
Pale pale Ethiopia kuna bantu-cushitic tribes ambazo jamii ya hao hao Ethiopia.
Hata wale wamisri wa zamani wanaojulikana sana kama Nubi ni jamii ya Abyssinia/Habesha.
Kwa Afrika Ethiopia imesambaza sana jamii yake.
 
Kuna mmoja anacheka jino pembe moyoni anawaza afanye vipi ili akaibe kwa mwenzake.
 
Wachaga, Warangi na Wasambaa ni Wabantu kama Wagogo na Wasukuma. Wamasai ni Nilo Hamit (Hemites). Wairaqw ndo Cushites. Watutsi bi la shaka ni Nilo hamites kama ilivyo kwa Wamaasai na Wabarbaig kwa Tanzania.
 
Tanzania mkuu makabila asili ya wakush ni manne tu hayo mengine msitake kutudanganya.
-Wambulu/wairaqwu.
-Wamang'ati.
-Wanyaturu.
-Wanyisanzu.

Wamaasai ni NILOTES.
WACHAGA,WASAMBAA,WAPARE wote ni WABANTU PURE MKUU.
Sasa sijajua historia gani imekudanganya mrangi au mchaga mkushi!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…