πππππNdio mimi nashangaa toka lini mrangi,msambaa na mchaga akawa ni mkushi!?Wachaga, Warangi na Wasambaa ni Wabantu kama Wagogo na Wasukuma. Wamasai ni Nilo Hamit (Hemites). Wairaqw ndo Cushites. Watutsi bi la shaka ni Nilo hamites kama ilivyo kwa Wamaasai na Wabarbaig kwa Tanzania.
Sio wasomali wote.Warusi + wanyankole+ wachina+ Masai ni jamii moja, walioingia Kenya na Kaskazini mwa Tanzania wakijiita Masai , walioingia Uganda wanyankole, walioingia Rwandan na Burundi, Kigoma waliitwa watusi, walioingia DRC waliitwa Banyamlenge. Baadhi ya watusi wana nywele za kisomali, Ethiopia na wasomali ni jamii moja.
umeongea sahihi kabisa, watusi ni Nilotic, sio cushtic. hiyo NIlo inatokana na wato kuishi along NIle river.Wachaga, Warangi na Wasambaa ni Wabantu kama Wagogo na Wasukuma. Wamasai ni Nilo Hamit (Hemites). Wairaqw ndo Cushites. Watutsi bi la shaka ni Nilo hamites kama ilivyo kwa Wamaasai na Wabarbaig kwa Tanzania.
hao warangi wanaofanana kabisa na wasomali ni wa wapi? kuanzia wembamba hadi sura, na wengine hadi nywele.Tanzania mkuu makabila asili ya wakush ni manne tu hayo mengine msitake kutudanganya.
-Wambulu/wairaqwu.
-Wamang'ati.
-Wanyaturu.
-Wanyisanzu.
Wamaasai ni NILOTES.
WACHAGA,WASAMBAA,WAPARE wote ni WABANTU PURE MKUU.
Sasa sijajua historia gani imekudanganya mrangi au mchaga mkushi!??
Hao wabongo tu kaka,hao ni wabantu.Labda kwasababu wamezaana na wamburu na wanyaturu maana Kondoa kuingia Manyara na Singida ni njia moja.hao warangi wanaofanana kabisa na wasomali ni wa wapi? kuanzia wembamba hadi sura, na wengine hadi nywele.
Watigrinyan hawa weusi kama watutsi tu.Usicho kielewa ni kwamba, watusi na waethiopia ni watu wawili tofauti kabisa.
1. watusi ni warefu na weusi, ethiopians wafupi na weupe
2. hakuna mtusi mwenye nywele za maburushi, waethiopia nywele wengine kama waarabu
3. watusi wametokea along that Nile rive, eneo la Sudan kuelekea Misri, waethiopia wametokea pale walipo.
4. weusi mzuri wa watusi huwezi kuukuta ethiopia.
kwaiyo watusi hawajatokea ethiopia, ila walisambaa walitokea maeneo ya Axum, along Nile river kwenye mipaka ya ethiopia na sudan kuelekea egypt.
Ndiyo sweetheart...Ushawahi kutana na wanawake wahuko lo??? Nasikia ni wazuri hatariii!
Tunashukuru mtoa mada kwa habari picha.π
Usimruhusu awaone tena aweza kukukimbia aisee.Ushawahi kutana na wanawake wahuko lo??? Nasikia ni wazuri hatariii!
Tunashukuru mtoa mada kwa habari picha.π
Siyo wabantu wale,ni waethiopia,warangi,wanyaturu,wanyiramba,sandawe huo ukanda inapanda Hadi manyara Arusha,Kenya,wali-migrate wakawa wanaishia mahali makundi makundiWarangi ni WABANTU mkuu.
Warangi ni wa hapa hapa.
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo
kwa rejea yako
Usiku mwema
View attachment 2997061View attachment 2997068View attachment 2997069View attachment 2997070View attachment 2997074View attachment 2997075
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo
kwa rejea yako
Usiku mwema
View attachment 2997061View attachment 2997068View attachment 2997069View attachment 2997070View attachment 2997074View attachment 2997075
Wambugu ni Wairaqwi au Wambulu ile immigration iliyotoka Ngorongoro Creater baada ya Mtume wao kutabiri kuvamiwa na wamasai so Wairaqwi wengine walikimbia mlima kilimanjaro na hadi Lushoto so kule kwa wasambaa sababu ya ubaguzi wao wairaqwi hawakuzaliana kivile na wenyeji ndio maana walibakia na nywele na rangi za kiasili from ethiopia.. wenyeji ndio waliwapa hilo Jina wambugu yaani kisambaa ni washamba kwa kuwadharau mno.. yaani ilifika mtu ukiitwa mbugu unapigana bwai bwai tu..Ukienda kule Tanga lushoto kuna kabila linaitwa wambugu hebu kawaangalie nao kama hutasema ni wasomali
Wanyarwanda hawana vinasaba hata kimoja dhidi ya Ethiopian... and huyo waziri mkuu ni Muslim kuna uwezekano ni asili ya Somalia hana issue.. Ethiopia pia kuna samalian kama nchi zingine tu zilivyo one people different color aliimba Lucky DubeWadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo
kwa rejea yako
Usiku mwema
View attachment 2997061View attachment 2997068View attachment 2997069View attachment 2997070View attachment 2997074View attachment 2997075
Mkuu hiyo historia ulosoma wewe warangi waethiopia imetokea wapi!?Siyo wabantu wale,ni waethiopia,warangi,wanyaturu,wanyiramba,sandawe huo ukanda inapanda Hadi manyara Arusha,Kenya,wali-migrate wakawa wanaishia mahali makundi makundi
Hakuna swali hapo.Wambugu ni Wairaqwi au Wambulu ile immigration iliyotoka Ngorongoro Creater baada ya Mtume wao kutabiri kuvamiwa na wamasai so Wairaqwi wengine walikimbia mlima kilimanjaro na hadi Lushoto so kule kwa wasambaa sababu ya ubaguzi wao wairaqwi hawakuzaliana kivile na wenyeji ndio maana walibakia na nywele na rangi za kiasili from ethiopia.. wenyeji ndio waliwapa hilo Jina wambugu yaani kisambaa ni washamba kwa kuwadharau mno.. yaani ilifika mtu ukiitwa mbugu unapigana bwai bwai tu..
Kuna Wairaqwi walifika hadi Iringa kwa Mkwawa baadae Kijana mmoja alifanikiwa kumtia Mimba mtoto wa Chief Mkwawa bila ndoa wala mahali Wairaqwi walipatwa khofu kuuliwa wote wakajikusanya na kukimbia Iringa kurudi Manyara kumbe Mkwawa baada ya kusikia binti yake ana mimba alifurahi sana akataka amuozeshe binti yake kutahamaki kabila zime limesepa... Wairaqwi walipo rudi Manyara Mbulu kwa wenzao walikuwa wanazungumza lugha iliybomoka yaaniisiyo sawa ndio wenzao wakawaita nyie ni wambulu...
Leo tunaishia hapa kuna mwenye swali?
Asili haitizami dini.Wanyarwanda hawana vinasaba hata kimoja dhidi ya Ethiopian... and huyo waziri mkuu ni Muslim kuna uwezekano ni asili ya Somalia hana issue.. Ethiopia pia kuna samalian kama nchi zingine tu zilivyo one people different color aliimba Lucky Dube
Abby ni dini ganiAsili haitizami dini.
Ethiopia wakristu wapo tena wengi sana.Abiy Ahmed ni Oromian sio Somali.
Rwanda vinasaba na Ethiopia wanavyo.
Abiy Ahmed ni muislam kaka.Abby ni dini gani