Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

Naomba nikurekebishe.

Jamii ya wakushi waliopo tanzania
-Wairaqw (Mbulu, Karatu, Babati, Hanang...)
--Wafyomi/Wagorowa (Babati)
--Waburunge (Kondoa Mashariki na Kiteto)
--Wambugu (Lushoto/Bumbuli)
-Wanyaturu (Singida)

Wanyisanzu ni Wabantu na;
Wamang'ati ni NILOTES.
 
Aaaa wapi,Mwamba amemshauri mjanja mwenzie ajiunge EAC ili waje wawaibie wajingajinga kama sisi watu wa Kizimkazi.
Huyo mwingine hana ujanja wowote afadhali kimbaumbau japokuwa na yeye ujanja wake zaidi ni kuua wenzake tu.
 
CC:
GENTAMYCINE , Jestkilla et-al
 
Anhaa sawa 🙏🙏.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…