Libadilishwe aiseeh, hatuwezi kuwa na kombe la ligi la kipumbavu hivyo.Angalia aina ya makombe ambayo wenzetu wanabeba.View attachment 2273029
Msimu ujao timu yako itakuja kushindania kombe gani?
Hahaha swala la nyinyi kuwa mabingwa hakuna yoyote mwanamichezo anaeweza kubisha, na wala si kitu ninachojadili hapa.Shida sio kombe ila maana ya hilo kombe......hata ukipewa kikombe cha chai fresh tu ilimradi maana yake haijapotea bado....wewe ni bingwa.....na maana ya bingwa ni kwamba kawasira wale wote wa chini yake
Endeleeni na promosheni zenu za mo energyHahaha swala la nyinyi kuwa mabingwa hakuna yoyote mwanamichezo anaeweza kubisha, na wala si kitu ninachojadili hapa.
Ila kwakua kwako wewe hata kikombe cha chai kinatosha huwezi kunielewa, acha iwe hivyo.
Kawaida mbona nyie mliusubiria miaka mitano kipindi hiko timu yenu inashindia chapati za Kaduguda mpaka sasa hamjamlipa Kaduguda hela yake ya Chapati.Ni kwamba ubingwa mliusubiria kwa miaka mingi sana, mlikuwa na kiu ya kuupokea ndiomaana mara ya mwisho kuupokea haikuwa hivyo.
HONView attachment 2272986GERENI
Na mimi nimekuletea picha yenu ya zamani mkiwa na canter yenu ya mkaa.Mimi sina lengo la kubishana mkuu, ila nimekuletea picha kama jinsi nyinyi mlivyoleta picha za zamani na kuisindika kwa maneno " mashabiki wachache" bila kueleza ni wa tawi gani.View attachment 2273003
Ndo maana ya timu kubwaUshamba ni mzigo. Unaweza hisi jamaa wamebeba ubingwa wa Dunia wanavyo pogoma.
kikubwa ngoma au cio kwahyo ubwabwa umeliwa na wavamiajiWewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga
Mkuu kama umekosa kuwepo road leo basi kidimbwi usikose kutuwakilisha wananchiNa ukumbuke hao ni sehemu tu ya mashabiki, maana wengi tupo majumbani leo jumapili tunapumzika wala huwa hatuendagi kwenye mikusanyiko mikubwa.
Tunaomba Mungu shughuri iishe salama watu wasikanyagane kuleta vifo.