Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

View attachment 2273029
Msimu ujao timu yako itakuja kushindania kombe gani?
Libadilishwe aiseeh, hatuwezi kuwa na kombe la ligi la kipumbavu hivyo.Angalia aina ya makombe ambayo wenzetu wanabeba.

Sina maana ya kwamba turudi kwenye lile ambalo Simba Sc alibeba, namaanisha kwamba badala ya kwenda mbele tumerudi nyuma mno. Bora kubaki palepale ama tuendelee mbele postively.
IMG_20220626_154955.jpg
 
Shida sio kombe ila maana ya hilo kombe......hata ukipewa kikombe cha chai fresh tu ilimradi maana yake haijapotea bado....wewe ni bingwa.....na maana ya bingwa ni kwamba kawasira wale wote wa chini yake
Hahaha swala la nyinyi kuwa mabingwa hakuna yoyote mwanamichezo anaeweza kubisha, na wala si kitu ninachojadili hapa.

Ila kwakua kwako wewe hata kikombe cha chai kinatosha huwezi kunielewa, acha iwe hivyo.
 
Kwa sababu ya hizo picha au una takwimu za idadi yamashabiki wa Yanga? Kwa hiyotukisema Simba ina mashabiki wengi kuliko timu yoyote Africa kwa kigezo tu cha kujaza uwanja siku ya simba day kabla ya saa sabamchana na kumaliza tiketi zote nitakuwa sahihi?
 
Hahaha swala la nyinyi kuwa mabingwa hakuna yoyote mwanamichezo anaeweza kubisha, na wala si kitu ninachojadili hapa.

Ila kwakua kwako wewe hata kikombe cha chai kinatosha huwezi kunielewa, acha iwe hivyo.
Endeleeni na promosheni zenu za mo energy
IMG-20220626-WA0062.jpg
 
Na ukumbuke hao ni sehemu tu ya mashabiki, maana wengi tupo majumbani leo jumapili tunapumzika wala huwa hatuendagi kwenye mikusanyiko mikubwa.

Tunaomba Mungu shughuri iishe salama watu wasikanyagane kuleta vifo.
 
Ni kwamba ubingwa mliusubiria kwa miaka mingi sana, mlikuwa na kiu ya kuupokea ndiomaana mara ya mwisho kuupokea haikuwa hivyo.

HONView attachment 2272986GERENI
Kawaida mbona nyie mliusubiria miaka mitano kipindi hiko timu yenu inashindia chapati za Kaduguda mpaka sasa hamjamlipa Kaduguda hela yake ya Chapati.

Tuachane na hayo naona hii canter ya mkaa ya mwaka juzi MO alikata kwenye zile Billion 20 zake.
Screenshot_20220626-163500_WhatsApp~2.jpg
 
Mimi sina lengo la kubishana mkuu, ila nimekuletea picha kama jinsi nyinyi mlivyoleta picha za zamani na kuisindika kwa maneno " mashabiki wachache" bila kueleza ni wa tawi gani.View attachment 2273003
Na mimi nimekuletea picha yenu ya zamani mkiwa na canter yenu ya mkaa.
IMG-20220626-WA0062.jpg

Na MO ktk bil 20 kajumuisha na hiyo canter.
 
RB/Mby/25.6./Sokoine/Blenda.2022

Imeripotiwa upotevu wa blenda ya kutengenezea juisi/shalubati ya parachichi pale Mbeya karibu na uwanja wa Sokine.
Dola linaendelea na uchunguzi, kama una taarifa zozote muhimu toa taarifa kituo cha jeshi karibu nawe!
Nb. Mishikio ya kinu cha blenda imefungiwa kwa screw mbilimbili.

Imesainiwa.
FB_IMG_1656251198207.jpg
 
Leo watu wasio na mishe mjini wameamua kuunga tela. Hhahha chezea dar? Watu wanaazimana mpk sidiria itkua jezi? Hapo hamna kitu
 
Wewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga
kikubwa ngoma au cio kwahyo ubwabwa umeliwa na wavamiaji
 
Yanga na basi lao..........Simba kwenye Fuso lao tandam kama viroba vya nyanya. Hiyo tu inaonesha picha,,
 
Na ukumbuke hao ni sehemu tu ya mashabiki, maana wengi tupo majumbani leo jumapili tunapumzika wala huwa hatuendagi kwenye mikusanyiko mikubwa.

Tunaomba Mungu shughuri iishe salama watu wasikanyagane kuleta vifo.
Mkuu kama umekosa kuwepo road leo basi kidimbwi usikose kutuwakilisha wananchi
 
Back
Top Bottom