Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Wewe kama muafrika kidampa kuna kipi ambacho haujaiga??

Hapa bongo na Africa ni lini ulitokea ubongo wa kuanzisha kitu na dunia ikakifata, kama waliojipambanua kama watu mashuhuri hapa africa hawajawahi kuvumbua kitu,View attachment 2273393

Tumekataa kuiga vya huko ndio maana tumejitengenezea kombe letu linalo fanana na mashine ya kusagia mpunga.

Nakushangaa kwanini ulitaka lifanane na la UEFA..[emoji23][emoji23]
 
 
Sisi ni Simba Sc hatujashinda ubingwa lakini ni lazima tuseme maana kuja kubebe kombe la hivi (ikitokea) ni fedheha.View attachment 2273393

Njia pekee ya kuepusha fedheha ni kuhakikisha unawauza sakho, banda na manula na umrudishe moses phiri kwao.

Na pia muachane na Okrah.

Bila kusahau mumtimue Mo Dewji.

Mkisha fanya hayo hamtopata fedheha. Sisi yanga tutawasaidia kubeba fedhea kila wakati. [emoji23][emoji23]
 
Azam na simba walishachukua ubingwa bila kufungwa ndio maana tunawashangaa

Walibebq Ubingwa katika kipindi ambacho vilabu vilikuwa na njaa.

Jaribu kufanya hivyo kipindi iki ambacho Azam TV ameweka mpunga mrefu uone kama kazi rahisi.
 
Aisee, kwamba hujui Dar es Salaam ni ukanda wa Pwani ni Mikoa ya Waislam?? Simba na Yanga ni timu za huko hivyo 99% ya wazee wake ni Waislam na mara zote ziko upande huo wa Dini tangu na tangu.

Kama unataka timu iwe ya Kikristo ifufue NAZARETH ya SONGEA.
 

 
Huo ni muona finyu sana na kama ndicho kilichowaongoza kufanya hivyo, wamefanya makosa makubwa sana

Sejemu hata kama kuna mtu mmoja tu kati ya watu 1,000,000 kwa jamii ya kistaarabu haiwezi ika dominate na kum ignore

Chengine, hii timu ina wapenzi Tanzania nzima na sehemu nyingine ambapo wapenzi wake wapo unakuta kijiji kizima hakuna muislam hata mmoja, wameunganishwa tu na mapenzi ya timu na historia ya timu katika nchi, sasa unapawaza kuwa dini ya kutoa maombi ni ile ya majority waliokuwepo ni makosa na ukakasi mkubwa

Embu niambie akina mwamposa, mzee wa upako, Ruwaichi, mwakasege, Shoo,,nk ukute ama ni wapenzi wa timu hiyo au wana waamini washabiki wa timu hiyo halafu viongozi wanaendesha mambo bila kujua hilo kana kwamba timu nayo imeslimu unatarajia nini?
 
Hii timu ukifatilia muda wakazi ndio walikuwa wakijazana karume kufatilua kesi ya Morson, muda wa kazi ndio walikuwa wakishinda airport kupokea wapinzani wa simba hii inaonyesha waliojazana ni wazurulaji wasio na kazi.
 
Sasa kama utabisha sawa, ila tangu na tangu hizo timu ni za mrengo huo mkuu.
 
😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…