Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Mashabiki mandazi ambao wanakimbia kutoa mchango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama muafrika kidampa kuna kipi ambacho haujaiga??
Hapa bongo na Africa ni lini ulitokea ubongo wa kuanzisha kitu na dunia ikakifata, kama waliojipambanua kama watu mashuhuri hapa africa hawajawahi kuvumbua kitu,View attachment 2273393
Hutaki kuwa na kombe linalofanana na la UEFA ila unataka tuendelee kuwa na kombe kama zururu?Haya sasa hebu jaribu kulinganisha hili kombe letu na wenzetu hawa wa SA.
/QUOTE]
Tunarudi pale pale.
Kwanini wengine ndio wawe kipimo cha kiwango cha ubora.
Sisi Yanga na Bodi ya ligi tumekataa upopoma wa kuiga.
Next time tutakuja na kombe lenye kufanana na Mapengo ya JOTI.
(Hatutaki mchezo sisi)
Sisi ni Simba Sc hatujashinda ubingwa lakini ni lazima tuseme maana kuja kubebe kombe la hivi (ikitokea) ni fedheha.View attachment 2273393
Azam na simba walishachukua ubingwa bila kufungwa ndio maana tunawashangaa
Pole sana,imekuumiza sana mkuuUshamba ni mzigo. Unaweza hisi jamaa wamebeba ubingwa wa Dunia wanavyo pogoma.
Bora wapumzike,kuliko mnaokosa na huo usingizi Kwa stress na kukosoa vitu vya kitoto kitoto
Aisee, kwamba hujui Dar es Salaam ni ukanda wa Pwani ni Mikoa ya Waislam?? Simba na Yanga ni timu za huko hivyo 99% ya wazee wake ni Waislam na mara zote ziko upande huo wa Dini tangu na tangu.Hizi timu timu ni za kiislam? Hilo ndio kosa la kiufundi ambalo hunifanya nisiwe mshabiki wa hizi timu mbili.Ukiwa na mashabiki ama wanachama wenye imani tofauti ondoa itikadi au ukitumia dini shirikisha viongozi wa dini zote hata kama ni mshabiki mmoja lazima usifanye ibada ukamwengua
Lile shindano lilikua ovyo,miamala ilikua inachezewa na wajinga,mbona baada ya Yanga kujitoa awapati hela kama mwanzo!makolo kila sehemu ni chupliShindano lililenga kuwaBOOST nyinyi mpate pesa za kumsajili Phiri Moses.
Wewe kama muafrika kidampa kuna kipi ambacho haujaiga??
Hapa bongo na Africa ni lini ulitokea ubongo wa kuanzisha kitu na dunia ikakifata, kama waliojipambanua kama watu mashuhuri hapa africa hawajawahi kuvumbua kitu, wewe chokoraa wa hapa TZ (jf) tuseme vipi?Hilo swala la bus hamjaiga? Sisi kama waafrika kuiga ni MUST, na kama vizuri sio kosa[emoji23].
Hutaki kuwa na kombe linalofanana na la UEFA ila unataka tuendelee kuwa na kombe kama zururu?Haya sasa hebu jaribu kulinganisha hili kombe letu na wenzetu hawa wa SA.
Acheni kuropoka, sisi ni Simba Sc hatujashinda ubingwa lakini ni lazima tuseme maana kuja kubebe kombe la hivi (ikitokea) ni fedheha.View attachment 2273393
Kwamba unatafuta namna ya kulifananisha na hili? Ubingwa mmeushinda lakini hili kombe linatakiwa kubadilishwa aseeh.
Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.
Huo ni muona finyu sana na kama ndicho kilichowaongoza kufanya hivyo, wamefanya makosa makubwa sanaAisee, kwamba hujui Dar es Salaam ni ukanda wa Pwani ni Mikoa ya Waislam?? Simba na Yanga ni timu za huko hivyo 99% ya wazee wake ni Waislam na mara zote ziko upande huo wa Dini tangu na tangu.
Kama unataka timu iwe ya Kikristo ifufue NAZARETH ya SONGEA.
Sasa kama utabisha sawa, ila tangu na tangu hizo timu ni za mrengo huo mkuu.Huo ni muona finyu sana na kama ndicho kilichowaongoza kufanya hivyo, wamefanya makosa makubwa sana
Sejemu hata kama kuna mtu mmoja tu kati ya watu 1,000,000 kwa jamii ya kistaarabu haiwezi ika dominate na kum ignore
Chengine, hii timu ina wapenzi Tanzania nzima na sehemu nyingine ambapo wapenzi wake wapo unakuta kijiji kizima hakuna muislam hata mmoja, wameunganishwa tu na mapenzi ya timu na historia ya timu katika nchi, sasa unapawaza kuwa dini ya kutoa maombi ni ile ya majority waliokuwepo ni makosa na ukakasi mkubwa
Embu niambie akina mwamposa, mzee wa upako, Ruwaichi, mwakasege, Shoo,,nk ukute ama ni wapenzi wa timu hiyo au wana waamini washabiki wa timu hiyo halafu viongozi wanaendesha mambo bila kujua hilo kana kwamba timu nayo imeslimu unatarajia nini?
Za Kiislam?Sasa kama utabisha sawa, ila tangu na tangu hizo timu ni za mrengo huo mkuu.