Hta ngozi ya juu haionekani?Kwa suruali za kike hata zipu ifunguke vp huwez ona nyapu hata uwe hujavaa pichu.
Ila umetisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh.. labdaa kweli.Inawezekana alikosa confidence ya kukuelezea ila kukukazia macho ndio njia aliyoona nzuri and good thing it worked.
Wataalamu wa saikolojia wanaweza kusaidia, kuna aina ya watu akiona jambo la aibu yeye linamuathiri na kuona aibu zaidi kuliko hata mhusika mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakos watejaUmeona eenh...
Usikute alidhani ni new swaga in town.
Usije pita mitaani ukakutana naye siku moja naye ameachia zipu bila kuifunga ili kuvuta attention.
Kwani mkuu kachupi hukuvaaa,sorry kwa hili swali
Wamekodoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unashangaa na hilo??
Ukiacha utamu nje inaleta ile kitu inaitwa "all eyes on me"
Halafu umfanyaje mkuu(swali tafakuri)Mara mbili zote?
Inakuwaje unasahau sahau kufunga zipu?
Natamani nikutane na wewe.
Nigaie buku mkuuNakumbuka kitambo kidogo nikiwa Tanga kuna mzee alisahau kufunga zipu kwenye tamasha, nikamwambia baba funga dirisha, akanishangaa badae akaelewa. Akanipa elfu 2z
Ilikuwa nyingi sana ile pesa na maisha ya boarding.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisimi kitaota magaga Kivipi,??kwani hicho kisimi kiko kama mpini wa Jemba??,..nchi yetu joto chupi zinazifanya punani zisipumue,..π
πππNilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwaza zigo la kuvunja chagga hilo ningeimba ngonjera zote.Lazima namba ungeipata sio kwa ukarimu huo
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Hatuko hivyo ebu kamfnoIla hyo sio indicator ya upendo bwana ukute hata yeye hakuona hata wanaume huwa hawapendani
Sent using Jamii Forums mobile app
Badilika basi
Wow na mzgo upo nao swafi kabisa men tuko juuWanawake mnapenda ila kinafiki sana.
Hii ilimkuta mrembo mmoja ila yeye kwenye nyonyo yeye bila kujua kama titi linaonekana. Nilipomuona nikavutiwa nikasema naye nikachukua namba.
Baadae nikamtongoza tukawa wapenzi.
Siku moja nilipomkumbusha aliniambia kama haya haya ya leo.
Alikutana na wanawake wengi ila hawakumjulisha.
Aliwaza siku ile kama niliiona nikamwambia kati ya vitu vilinivutia ni ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo punani yako itakuwa na vidole vya kumfungulia zipu,haiwezekani zipu iwe inafunguka funguka tuuNilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh utamu tenaAliniangalia sana. Yani asingeniangalia kiasi kile nisingehisi kama utamu uko nje..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuMi kuna mdada shati nilikaaga vibaya nikamwambia nakumtengeneza alinishushuaje mpaka nikakoma kiherehere, Mimi mwenyewe nikitembeaga suruali ikifunguka wanaume ndo huniambia Dada funga suruali
Sent using Jamii Forums mobile app