Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Inawezekana alikosa confidence ya kukuelezea ila kukukazia macho ndio njia aliyoona nzuri and good thing it worked.

Wataalamu wa saikolojia wanaweza kusaidia, kuna aina ya watu akiona jambo la aibu yeye linamuathiri na kuona aibu zaidi kuliko hata mhusika mwenyewe.
Mmmmh.. labdaa kweli.
 
Nakumbuka kitambo kidogo nikiwa Tanga kuna mzee alisahau kufunga zipu kwenye tamasha, nikamwambia baba funga dirisha, akanishangaa badae akaelewa. Akanipa elfu 2z
Ilikuwa nyingi sana ile pesa na maisha ya boarding.
Nigaie buku mkuu
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀
Pole sana dada.
 
Wanawake mnapenda ila kinafiki sana.
Hii ilimkuta mrembo mmoja ila yeye kwenye nyonyo yeye bila kujua kama titi linaonekana. Nilipomuona nikavutiwa nikasema naye nikachukua namba.
Baadae nikamtongoza tukawa wapenzi.
Siku moja nilipomkumbusha aliniambia kama haya haya ya leo.

Alikutana na wanawake wengi ila hawakumjulisha.
Aliwaza siku ile kama niliiona nikamwambia kati ya vitu vilinivutia ni ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wow na mzgo upo nao swafi kabisa men tuko juu
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo punani yako itakuwa na vidole vya kumfungulia zipu,haiwezekani zipu iwe inafunguka funguka tuu
 
Back
Top Bottom