Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

ushukuru kakuangalia shemela asingekuangalia je?? me usinipe jibu bhana
 

Hii thread bila kapicha ni kutuonea aise Mzigua90 [emoji23]
 
Jamani ukaacha mwenzio atembee uchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukajilia vyako baada ya kuona nyonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiiii kwanini hufungi dhipuu!

Labda alikuwa anakuonea aibu kukwambia. Hivyo akakwambia kwa macho.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Pole mamy, pengine hakufanya kusudi alighafirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…