Huyo dada ndo wale wasiopenda wenzao. Badala akushukuru anakushushua tenaMi kuna mdada shati nilikaaga vibaya nikamwambia nakumtengeneza alinishushuaje mpaka nikakoma kiherehere, Mimi mwenyewe nikitembeaga suruali ikifunguka wanaume ndo huniambia Dada funga suruali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani alinyari hatari aisee nikakomeHuyo dada ndo wale wasiopenda wenzao. Badala akushukuru anakushushua tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Usicheke wakisikia papuchi kubwa anashindwa kuelewa ukubwa gani kina au surface area[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waweza kuta alivyoangalia akachukia bila kujua ni bahati mbaya hukufanya kusudi.
HahahaahahaMi ningekuita pembeni kisha nakufungia nwenyewe [emoji41]