HahahahahaaaaMimi nishawahi kwenda na mswaki hadi class, yaani ile namaliza kuswaki nikauweka mfukoni nikajisahau nikaondoka upo mfuko wa suruali umetokeza nje.
Sasa chizi mmoja class akawa anaongea 'maisha magumu hadi mtu anakuja na mswaki darasani' kujicheki mswaki unachungulia nje ya mfuko!
Lazima namba ungeipata sio kwa ukarimu huoMe ningekupa hi kwanza then ningekuvuta pembeni kisha ningekuomba nikusaidie kitu kwa upoleee halafu ningekufunga taratibuuu!
Then nikakuaga vizuri tu na kukuachia namba yangu kwa huduma zaidi. Hizo zilikuwa point 5 tayari!
Sio wote tunaweza shushua tukisaidiwaSaa zingine kwa kizazi hiki ni ngumu kujua. Wanawake wenzenu wanashindwa elewa kama ni fashion au mnatangaza bidhaa, anaona anaweza akakwambia kisha ukamshushua.
Ndivyo mlivyo...Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nakumbuka kitambo kidogo nikiwa Tanga kuna mzee alisahau kufunga zipu kwenye tamasha, nikamwambia baba funga dirisha, akanishangaa badae akaelewa. Akanipa elfu 2z
Ilikuwa nyingi sana ile pesa na maisha ya boarding.
Inawezekana alikosa confidence ya kukuelezea ila kukukazia macho ndio njia aliyoona nzuri and good thing it worked.Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hii thread hadi sasa nimeona like 25, naomba kufahamu kwa walio-like, wamelike kwa kuwa wanawake hawapendani, au kwa kuwa mzigua90 kasahau kufunga zipu au kwa kua huyo dada hakumshtua kuwa zipu iko wazi?Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app