Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Lema amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao

Mnyika, Katibu Mkuu wa chama, amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao....
Wamepata wanachostahili.
 
Mbowe anataka kusababisha uvunjaji wa sheria ya uchaguzi kifungu cha 53 kinachotaka media za umma zishirikiane nwa wagombea wa vyama vyote. Akiswaeka uadui na vyombo hivyo vinaweza vishirikiane naye, jna hivyo kuvunjwa kwa kifungu hicho.
 
Pole Sana Kwa Yaliyokukuta kaka muhimu endelea kufata Maelekezo yanayotolewa na Wataalamu Hasa kunawa Mikono kwa maji tiririka na sabuni na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
 
FB_IMG_1598660262106.jpg
 
Mbowe anataka kusababisha uvunjaji wa sheria ya uchaguzi kifungu cha 53 kinachotaka media za umma zishirikiane nwa wagombea wa vyama vyote. Akiswaeka uadui na vyombo hivyo vinaweza vishirikiane naye, jna hivyo kuvunjwa kwa kifungu hicho.
Otherwise akubali kusona hotuba zilizo andaliwa na ccm.
 
Kwanini sijaelewa, language barrier?
 
Back
Top Bottom